Mliokosa updates za diamond..heaven on desert nimerudi

Mliokosa updates za diamond..heaven on desert nimerudi

we Penny?au sepe2?au kidoti?au uwoya?au wolper?au aunty?au mama salma k?
Maana hao mi ndo ntawaamini kwan hadi boxer yake wanaijua

would appreciate some clarification based on the highlighted .....(in red):help:
 
sredi kama hizi kuzifufua sio mbaya!
kifesi unatung'ong'aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaje?
ahjahahhahahahhahahahha ila mekumiss heaven on desert
 
off course tunamkubali diamond,,,,, ila mtoa maada toka zamani ana nyota nyeusi sijui kwanini watu wengu wa jamii forum hawampendi huyu heaven on desert, 🙂🙂 kuna watu kama kina money stunna na warumi wanakubalika automatically humu ila huyu jamaa yanii inabidi asafishe nyote kula akitoaga post comments zinakua backfire kwake

mtoa mada kasome kitabu cha how to make friends and influence people
 
ha ha ha watanganyika bana...mwenzio niko kazini na hujui ni kiasi gani nalipwa na pengine wewe kukipata kwa mwezi ni ndoto..so kaa kimya
We bure kabisa... umekuja kutangaza mshahara hapa? haya tuwekee digits kabisa na matumizi yako
 
Bila shaka ulikwenda kumalizia Research yako! Karibu.
 
we ni mgonjwa et? Sasa nani anataka info za diamond humu ndani? Embu tutolee ujinga wako hapa kwani uyo diamond ye ni nani??

Ana mhemko na maisha ya mwanamme mwenzie hebu tupishe huko kazipeleke tandale ndio wanaomjua
 
We bure kabisa... umekuja kutangaza mshahara hapa? haya tuwekee digits kabisa na matumizi yako

Wapambe wa mond hawakawii kuongeza sifuri sifuri Kama baba Yao [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Sasa kwani u'secretary' wa mtu fulani maarufu si kazi? nani kakuambia uSecretary ni utumwa!? wengine mama zetu walikuwa maSecretary na wametusomesha tuna degree kadhaa now na hiyo hiyo hela ya uSecretary! Ili mradi anakulipa stahiki yako hiyo ni ajira! Hata maCelebrity wa kimataifa wameajiri watu kuwasaidia majukumu yao mbali mbali, kama hili la kuto taarifa kwa public. sijui unamchukia nani kati ya 'Diamond' au huyu jamaa ambaye ni Publicist wake..but heey man, stop hating!
Usiumize kichwa wabongo ndivyo walivyo, wivu, fitina, majung, pasipo sababu ya msing, fanya Kaz yako tupe updates za msanii watu kipnz, kaa humpnd kaa kimya, utaskia stimpend tuu, sababu hamna, diamond ni icon ya tz International tupe updates zake tujuwe tutakao
 
Haters mlimkimbiza jamani siku hizi anang'aa ndani ya Instagram
hahahahhahahha yani alitukomaaaa!
huwa nikionaga post zake insta namfurahia kama namjua!N
nasema una haki dogo madongo tuliyokuwa tunakunyali JF HAKIIIIII RINGA TU NA DAI WAKO!
 
Back
Top Bottom