Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Kwann mkuu?Huna adabu
Huku majanga sana tumepatwa msiba.Uku uingereza tuna endelea salama sana aiseee kibaridi kime anza taratibu....vipi yie apo bongo bado mna isoma?
Huku majanga sana tumepatwa msiba.
Vipi Rooney, Rushford, Pogba umefanikiwa kuonana nao hapo Manchester?
Anhaa. Usisite pia kumtafuta Mourinho umwambie anatuchanisha mikeka na Man United yakePoleni bwana nime ona kwenye taarifa ya habari bbc....
Hapana lakin nili onana na hazard nikamweleza vile wabongo tuna msema kua ana wowowo kubwa na pia nika mweleza kua na sisi nyumbani tuna mchezaji ana itwa kichuya ali piga kona ika ingia yenyewe
Anhaa. Usisite pia kumtafuta Mourinho umwambie anatuchanisha mikeka na Man United yake
@mbalizi1 unahusika hapaNami nawasalimu wale viranja waliokuwa wanatugawia maeneo ya kufyeka.
Nawauliza huko wizara ya ardhi mnaendeleaje??