Mliokua mkienda English Course Kipindi cha likizo, Habari za hapo uingereza?

Mliokua mkienda English Course Kipindi cha likizo, Habari za hapo uingereza?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Hii ni kwa wale ambao walikua wakienda English Course kabla ya kuingia form one na wakati wa likizo..

Naomba muwasalimu sana hapo Uingereza. Natumai London karibu kipindi cha baridi kitaingia.
 
Uku uingereza tuna endelea salama sana aiseee kibaridi kime anza taratibu....vipi yie apo bongo bado mna isoma?
Huku majanga sana tumepatwa msiba.

Vipi Rooney, Rushford, Pogba umefanikiwa kuonana nao hapo Manchester?
 
Poleni bwana nime ona kwenye taarifa ya habari bbc....

Hapana lakin nili onana na hazard nikamweleza vile wabongo tuna msema kua ana wowowo kubwa na pia nika mweleza kua na sisi nyumbani tuna mchezaji ana itwa kichuya ali piga kona ika ingia yenyewe
Huku majanga sana tumepatwa msiba.

Vipi Rooney, Rushford, Pogba umefanikiwa kuonana nao hapo Manchester?
 
Nawasalimu pia kina viranja, mamonita na wale wapiga kengele kwaajili ya mapumziko

Bila kuwasahau wale waliokuwa wanashika nafasi ya kwanza mpaka ya pili kidarasa
 
Poleni bwana nime ona kwenye taarifa ya habari bbc....

Hapana lakin nili onana na hazard nikamweleza vile wabongo tuna msema kua ana wowowo kubwa na pia nika mweleza kua na sisi nyumbani tuna mchezaji ana itwa kichuya ali piga kona ika ingia yenyewe
Anhaa. Usisite pia kumtafuta Mourinho umwambie anatuchanisha mikeka na Man United yake
 
[emoji2][emoji2][emoji2]usijali mkuu...

Vip nasikia mlikua na maandamano na mange... vip mli fanikiwa kumtoa jiwe?
Anhaa. Usisite pia kumtafuta Mourinho umwambie anatuchanisha mikeka na Man United yake
 
Nami nawasalimu wale viranja waliokuwa wanatugawia maeneo ya kufyeka.

Nawauliza huko wizara ya ardhi mnaendeleaje??
 
Back
Top Bottom