Mliokula chumvi tusaidieni haya mambo sisi vijana

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Haya mambo tumekuwa tukiyasikia lakini hatujui undani wake

1. Kundi la G5 liliundwa na kina nani na sasa liko wapi? Lengo lake lilikuwa ni nini?

2. Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alikamata nini uwanja wa ndege? Nini kilitokea?

3. Mayunga alipomfuata Nyerere ikulu kudai ongezeko la mshahara na maslahi kwa wanajeshi.

Karibuni mtujuze sisi watoto wa 1980/1990.
 
Wachambuzi wetu (round tablers) kwenye hii hoja ni
  1. Pascal Mayalla
  2. Mshana Jr
  3. Bujibuji Simba Nyanaume
Mtangazaji na mwenyekiti atakuwa johnthebaptist
 
Haya mambo tumekuwa tukiyasikia lakini hatujui undani wake

1. Kundi la G5 liliundwa na kina nani na sasa liko wapi? Lengo lake lilikuwa ni nini?

2. Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alikamata nini uwanja wa ndege? Nini kilitokea?

3. Mayunga alipomfuata Nyerere ikulu kudai ongezeko la mshahara na maslahi kwa wanajeshi.

Karibuni mtujuze sisi watoto wa 1980/1990.
Kuhusu G55, hili kundi liliundwa na wabunge 55 kudai serikali ya Tanganyika wakati utawala wa mwinyi. Baada ya mwalimu Nyerere kung'atuka urais mwaka 1985 mwinyi aliingia madarakani.

Pia hii G55 ndo chanzo Cha ugomvi Kati ya Nyerere na Malecela, wakati huo akiwa waziri mkuu, alitakiwa kuizuia G55 bungeni anashindwa Nyerere akamwabia ajiuzuru akakataa

Nakumbuka Nyerere aliitisha kikao Cha wabunge pale IFM akawapiga mkwara G55 wakaachaa madai yao.

Kwa ufupi.

Kuhusu Mrema alikama rubani akiwa na almasi uwanja wa ndege dsm ila mwinyi akamsamehe
Mrema alijiuzuru uwaziri kule dodoma.
Kwa ufupi.
 
Mi ni 80s 1. Ni G55 ilikuwa ni wabunge wa bunge la jmt wakiongozwa na njelu kasaka! Sijui wapo wangap wako hai au wap 2. Mrema alikamata dhahab eapot akatimuliwa kaza na alhaj mwiny! Mengine cjui
Kama unaongelea kilichomtoa Mrema kwenye Serikali na CCM kwa ujumla sio dhahabu bali ni issue ya Chavda. Goggle kwa taarifa zaidi.
 
Mi ni 80s 1. Ni G55 ilikuwa ni wabunge wa bunge la jmt wakiongozwa na njelu kasaka! Sijui wapo wangap wako hai au wap 2. Mrema alikamata dhahab eapot akatimuliwa kaza na alhaj mwiny! Mengine cjui
Lengo lao lilikuwa nini hao G55?
 
Haya mambo tumekuwa tukiyasikia lakini hatujui undani wake

1. Kundi la G5 liliundwa na kina nani na sasa liko wapi? Lengo lake lilikuwa ni nini?

2. Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alikamata nini uwanja wa ndege? Nini kilitokea?

3. Mayunga alipomfuata Nyerere ikulu kudai ongezeko la mshahara na maslahi kwa wanajeshi.

Karibuni mtujuze sisi watoto wa 1980/1990.
Haitakusaidia mkuu
 
Back
Top Bottom