Mliokuwa kwenye ndoa: Usifuatilie simu ya mke wako utaishi miaka mingi

Mliokuwa kwenye ndoa: Usifuatilie simu ya mke wako utaishi miaka mingi

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru
  1. Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife.
  2. Usimpende kupita kiasi.
  3. Chukulia poa kila issues.
  4. Mwanamke yeyote duniani anatongozwa sana tu, kwa hiyo we potezea kumfuatilia wife, cha msingi usijue chochote.
  5. Kuwa busy kutafuta hela.
  6. Usimtegemee wife kwenye mambo yako, yeye akutegemee.
  7. Mfanye awe busy sana.
  8. Muombe Mungu akuepushe na tamaa ya wanawake.
  9. Usilete marafiki wako home, malizana bar huko huko. Ukiwaleta home wanatengeneza kuaminiwa na wife.
  10. Mzalishe sana tu awe busy na watoto wako. Akizaa hajatulia, mimba.
  11. Afanye kazi ambazo hahitaji kusafiri sana, hii utachapiwa.
 
Sa mbona umetuchanganya yote hayo ili asikazwe
 
Yani wanawake ndio wanawaweka bize kiasi hiki?

Yani umzalishe hovyo hovyo mwanamke Sasa huyo ni Mke au incubator?

Na hao Watoto kama ukoo wa panya atawatunza nani?
 
Back
Top Bottom