Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

Huyu ni mumewe anatumia ID feki kumchafua zaidi mkewe,ila kimsingi Flora hana mtetezi ila wenye akili tunajua kinachoendelea na Lengo la mumewe kumchafua Gwajima kwa makusudi bila ushahidi ni kuwatoa watu kwenye mstari wa kujadili ubakaji,my take katika mfumo dume siku zote mwanamke hana haki ila iko siku ukweli utajulikana,yeye Flora issue yake ya Ubakaji imepelekwa mahakamani kwanini mumewe naye asimpeleke Gwajima mahakamani haki ikatendeke huko?Anavyofanya siyo vizuri.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hata yesu wanasema alizaa na maria magdalena sasa cha ajabu nini mtume gwajima kumuweka mimba frola.hahahaha

Hata Mudy wanasema alibaka kabinti ka miaka 14, sasa cha ajabu hapo nini?
 
Rafiki zangu mliopiga Degree za sheria kujeni hapa mtupe somo.. kwenye topic yenu ya marriage law.... kuna aina ngapi za ndoa za kidini zinazotambuliwa kisheria??
Hawa kina Kakobe,Gwajima,Mzee wa Upako,Mch Rwakatale,sina imani za dini zao! Maana wapo kibiashara zaidi..... na sio kuchunga kondoo wa bwana...
 
Hasa familia nyingi za Kichaga............
 

Kwa hiyo wewe ndo Flora umekuja kwa.ID fake?
 

Majungu ni kawaida especially kwa wabongo, ndo maana hili jukwaa linasomwa na wengi kwa kuwa watu wanapenda majungu, umbea na kusikia habar mbaya/nzur kutok kwa watu mbali mbali maarufu.
 
Jamani hamjatoka kanisani tu mtuambie huyo mtume na nabii yupo au kweli kasafiri, ya flora nitayafuatilia hapa home kwa mjomba wake
 
Mbona Gwajima yupo Kanisani Kwake hata kesho atafundisha maana leo amefundisha ,au gwajima wa JF ?

Dah....longtime ......we miss you here ......our truly First Lady.....welcome back......
 
Gwajima yupo na dakika hii yeye ndio anafundisha.......sometimes nadhani tusigeuze jukwaa hili kijiwe cha uzushi......nimezungumza na mtu aliye hapo kanisani muda huu.
 

Amen Pastor!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…