Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea kuliwa ndogo, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao wakiwa upande wangu,ni wachache walinipinga akiwemo sam love,masai dada,nadhani kila mmoja sasa hivi amesoma ktk vyombo vya habari juu ya u.shenzi alioufanya kahaba huyu wa kisukuma akijificha ktk koti la injili.

Gwajima amemdhalilisha sana MUNGU wetu kwa muda mrefu,na mwisho wa siku kaumbuka vibaya na kuikimbia nchi,Flora kamtesa sana mumewe, jamani vijana wenzangu kuweni makini sana na viumbe hawa waitwao "wanawake".

Hata kama kweli Mbasha alitembea na shemeji yake lakini aliyechangia tatizo hili ni mkewe, kinachokera zaidi ni kuwa wanajifanya ni watu wa Mungu kumbe ni devil's agents, hii inafanya hata watu waliokuwa wanataka kumrudia Mungu kushindwa kwa ujinga unaofanywa na watu washenzi kama Gwajima na Flora.

Sasa wote waliokuwa wakiwatetea mahayawani hawa waliotundikana hadi mimba sasa wote kimya,na wafunge midomo yao.

Mkuu hapo kwenye red niweke sawa kidogo. "Ili awe free kuendelea kuliwa .........". Napenda kujua zaidi wajameni maana kondoo wa bwana hao! au ndio washapotea porini!
 
Mbona Gwajima yupo Kanisani Kwake hata kesho atafundisha maana leo amefundisha ,au gwajima wa JF ?
Pamoja na yote yaliyotokea gwajima bado ana waumini?wanajifunza nini ss?kugegeda wake za watu!!mother fantas
 
Nashangaa wanaume wazima mnatetea umarioo!!!! Hata kama kadungwa mimba hiyo ni sawa tu coz mme wake ni marioo anategemea sauti ya mkewe kuishi.... sasa kakutana na mwanaume kamili anaejua kutafta hela sio huyo Marioo mtaji mb.oro
Poor you hujui uliandikalo tunakusamehe bure
 
Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea kuliwa ndogo, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao wakiwa upande wangu,ni wachache walinipinga akiwemo sam love,masai dada,nadhani kila mmoja sasa hivi amesoma ktk vyombo vya habari juu ya u.shenzi alioufanya kahaba huyu wa kisukuma akijificha ktk koti la injili.

Gwajima amemdhalilisha sana MUNGU wetu kwa muda mrefu,na mwisho wa siku kaumbuka vibaya na kuikimbia nchi,Flora kamtesa sana mumewe, jamani vijana wenzangu kuweni makini sana na viumbe hawa waitwao "wanawake".

Hata kama kweli Mbasha alitembea na shemeji yake lakini aliyechangia tatizo hili ni mkewe, kinachokera zaidi ni kuwa wanajifanya ni watu wa Mungu kumbe ni devil's agents, hii inafanya hata watu waliokuwa wanataka kumrudia Mungu kushindwa kwa ujinga unaofanywa na watu washenzi kama Gwajima na Flora.

Sasa wote waliokuwa wakiwatetea mahayawani hawa waliotundikana hadi mimba sasa wote kimya,na wafunge midomo yao.

Joyce kiria
 
Back
Top Bottom