Cold Free JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 227 Reaction score 385 Aug 27, 2014 #141 makubwa haya tena..
M musisiemu Member Joined Aug 17, 2014 Posts 61 Reaction score 6 Aug 27, 2014 #142 Frola mbasha Mungu kakuumbua Siku hizi za mwizi sio siku 40 tena zimepungua mimba uliyonayo ndio matunda ya ngono Dada we we ni hatari
Frola mbasha Mungu kakuumbua Siku hizi za mwizi sio siku 40 tena zimepungua mimba uliyonayo ndio matunda ya ngono Dada we we ni hatari
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Aug 27, 2014 #143 musisiemu said: Frola mbasha Mungu kakuumbua Siku hizi za mwizi sio siku 40 tena zimepungua mimba uliyonayo ndio matunda ya ngono Dada we we ni hatari Click to expand... Mungu hadhihakiwi
musisiemu said: Frola mbasha Mungu kakuumbua Siku hizi za mwizi sio siku 40 tena zimepungua mimba uliyonayo ndio matunda ya ngono Dada we we ni hatari Click to expand... Mungu hadhihakiwi
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,927 Aug 27, 2014 #144 Naona flora mbasha kaibuka mwenyewe kukiri ana mimba,lakini ya emmanuel mbasha na si gwajima
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 21,859 Reaction score 19,736 Aug 27, 2014 #145 Karucee said: Siku ya Kiyama kazi ipo Click to expand... Gwajima ni drug lord ,kibongo bongo matapeli kama Gwajima ndo wajanja
Karucee said: Siku ya Kiyama kazi ipo Click to expand... Gwajima ni drug lord ,kibongo bongo matapeli kama Gwajima ndo wajanja