EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wajae kwa kutulia ngija awaoneshe maajabuKelele nyingi zimekuwa zikisambaa kwa ile hoja dhaifu eti Messi hawezi cheza pahala pengine zaidi ya timu yake toka utotoni FC Barcelona.
Taarifa latest zinasema mchawi huyu wa soka yupo mbioni kwenda kufanya vipimo huko Paris katika siku mbili tatu hizi.
Macho na masikio tuyaelekeze kwenye Ligue One pamoja na michuano ya Ulaya tushuhudie Messi akishindwa kucheza nje ya Spain.
Kipimo kikubwa sio ligi ya nchi gani ipo bora ni UCL tu wanapokutana MABINGWAHizo team kubwa za Europe, Messi alishazichafua sana tu kwenye UCL bila hata yeye kucheza hizo ligi zingine.
Pale PSG anakutana na Neymar na Mbappe, tusubiri tu mvua ya magoli.
Kelele nyingi zimekuwa zikisambaa kwa ile hoja dhaifu eti Messi hawezi cheza pahala pengine zaidi ya timu yake toka utotoni FC Barcelona.
Taarifa latest zinasema mchawi huyu wa soka yupo mbioni kwenda kufanya vipimo huko Paris katika siku mbili tatu hizi.
Macho na masikio tuyaelekeze kwenye Ligue One pamoja na michuano ya Ulaya tushuhudie Messi akishindwa kucheza nje ya Spain.
kuprove kitu gani...kwahiyo unataka kusema Messi sio bora kwasababu kacheza ligi moja....kwahiyo suarez..etoo..ibrahimovic na lukaku ni bora kuliko Messi.......unachekesha mzee.Shabiki mandazi wewe. Ronaldo CR7 alishaprove uwezo wake ndani ya EPL.
Kuhusu kwenda BURLEY, mbona MESSI hajaenda hata monaco?
Suala la nani aende wapi hilo ni suala lake na wakala wake wapi kuna maslahi wapi niaje niaje.
umemaliza mkuuKipimo kikubwa sio ligi ya nchi gani ipo bora ni UCL tu wanapokutana MABINGWA
Mfa maji haishi kutapatapa mkuu. Lazima waje na sababu tu hawa, hawakubali kushindwa kabisa. Kahama bado manenokuprove kitu gani...kwahiyo unataka kusema Messi sio bora kwasababu kacheza ligi moja....kwahiyo suarez..etoo..ibrahimovic na lukaku ni bora kuliko Messi.......unachekesha mzee.
Messi popote anaweza kucheza tena kikosi cha kwanza dakika zote...Mmeanza kuhamisha magoli..mlitaka ahame sasa kahama mnataka kuleta hoja mufu zingine...Timu ya taifa kashawazodoa mnabaki na hoja ambazo sio za kimichezo.
kwahiyo kwa maoni yako, unataka mchezaji ili awe bora acheze ligi ipi na ipi?
Mmebaki kusemal igi ya spain rahisi..mbona henry na hazard imewashinda?...Hebu kati ya timu za england na spain zipi zimebeba mara nyingi makombe ya ulaya (UEFA NA EUROPA) Kuanzia 2008 - 2021?......kama ligi ya england ni ngumu, kwanini haijatoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka 10 iliyopita?
Acheni chuki binafsi....angeenda Man city bado mngesema kaenda timu yenye wachezaji bora...Ongea kama shabiki wa soka usiongee kama mshangiliaji wa soka.
Top six ya epl ni city, united, liverpool, chelsea, spurs na arsenal (nimewaweka tu kutokana na brand yao)......Hebu niambie nani kati ya hawa hajakutana na shuruba za Messi?
sasa hao akina villa, leicester, everton na wengine ndio wangemuweza...Fikiria upya mkuu.
Man city hawajapeleka ofa mkuu, au ulitaka aende akacheze bure ili watu wafurahie?Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
Jamaa ana matatizo sana...akina Totti, lewandoski, Del piero, mbappe, wanaheshimika kwa vipaji vyao licha ya kucheza ligi moja tu.Man city hawajapeleka ofa mkuu, au ulitaka aende akacheze bure ili watu wafurahie?
Hoja yako ni mfu..kwnz tuanze team gani ya England umesikia imepeleka ofa Messi amekataa kwenda..we unahis ataenda tu kucheza bila kupelelewa ofa..na mm hata siamini kbs tena ni hoja rubbish eti lzm acheze ligi tofaut ndo awe bora huo ni uzwazwa ambao wanaongelea iyo hoja walikua fans wa cr7 kwa sbb hawana cha muhimu...izo team za England ndo anaongoza kuzifunga kwny uefa...mtaongea mnavotak lkn anachukua tuzo ya 7 mwaka huu na anacheza psg msitegemee tofaut ana nafas kubwa ya kubena uefa na anachukua Ballon D'or ya 8 pia..kwhy mtaongea tu lkn ukwl ndo huo.Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
Ulituma offer mkuu?...au timu gani ilituma offer kutoka EPL ikakataliwa....au nawewe ni mmoja wa wale ambao wanaamini messi hawezi epl..wale wanaoamini messi sio bora kwa sababu hajacheza epl...unamjua ronaldinho?, zidane, delima na rivaldo...unamjua figo?...Hivi hawa wamecheza epl? mbona mnawaheshimu sana...au ni chuki binafsi tu kwa Messi.Angeenda EPL kama ana ubavu
[emoji23] si ndo hapo unawashangaa hawa mashabik oya oyaa..eti angeenda England aende kwa bure au..ww mtu hajapewa ofa hlf unaleta ushabik eti angeenda England tuone..uone nn wkt ndo team anaongoza kuzufunga...ivi kwl utakua mpumbav na mjinga kiasi gani kuamini Hazard ameshine England wakina Henry wameshine huko hlf eti ligi iyo iyo ije imshinde Messi..ni utakua mpumbav tu na mshabik obsessed wa cr7 ambae hatumii akil kufikir.Man city hawajapeleka ofa mkuu, au ulitaka aende akacheze bure ili watu wafurahie?
Na hao wote uliowataja hapo hawajacheza Epl..lkn kwa sbb washabik wa Cr7 ni inept wanaleta hoja nyepes kujificha hapo..ambazo sasa hazina hata mashiko..mtu anakwambia angeenda epl utafikie yy ndo alipeleka iyo ofa aende.Ulituma offer mkuu?...au timu gani ilituma offer kutoka EPL ikakataliwa....au nawewe ni mmoja wa wale ambao wanaamini messi hawezi epl..wale wanaoamini messi sio bora kwa sababu hajacheza epl...unamjua ronaldinho?, zidane, delima na rivaldo...unamjua figo?...Hivi hawa wamecheza epl? mbona mnawaheshimu sana...au ni chuki binafsi tu kwa Messi.
Hawa hata wasikupe shda mkuu...ni washabik wa cr7 wanaopata mhaho.Jamaa ana matatizo sana...akina Totti, lewandoski, Del piero, mbappe, wanaheshimika kwa vipaji vyao licha ya kucheza ligi moja tu.
Messi ni mchezaji was duniaNilitegemea angeenda MAN UTD ndio ungekuja na uzi wako. Lakini kaenda farmers ligi na club iliosheheni wenye uwezo nadhani ataonekana mkali kuzidi ule ukali alionao. Angejitosa pale man utd au man city awe anaona nginja ngija za akina wovermpton, aston villa, leicester.
nimekuliza swali rahisi tu umeanza kunitukana.. duhShabiki mandazi wewe. Ronaldo CR7 alishaprove uwezo wake ndani ya EPL.
Kuhusu kwenda BURLEY, mbona MESSI hajaenda hata monaco?
Suala la nani aende wapi hilo ni suala lake na wakala wake wapi kuna maslahi wapi niaje niaje.
sasa kwanini unataka Mess aende Man u??Suala la nani aende wapi hilo ni suala lake na wakala wake wapi kuna maslahi wapi niaje niaje.
Yaani mpaka hapo huja prove kuwa anaweza mpaka abadilishe ligi?hivi gwiji Pele alichezea ligi ngapi hadi anastaafu?Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
Alikua aende mancity mambo yakawa ghafla na kule london wakawa washachelewaAngeenda EPL kama ana ubavu
Yaani hadi leo unaquestion uwezo wa messi?Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
Kwan huko ni kanisani mkuu ndo useme anajiendea tu?hakuna aliejitutumua kupeleka ofaa achen uzwazwa team panado!mepagawa na nyomi la pale ParisAngeenda EPL kama ana ubavu