Mliokuwa mkisema Messi hawezi kucheza nje ya La Liga kaeni mkao wa kula

Kelele nyingi zimekuwa zikisambaa kwa ile hoja dhaifu eti Messi hawezi cheza pahala pengine zaidi ya timu yake toka utotoni FC Barcelona.

Taarifa latest zinasema mchawi huyu wa soka yupo mbioni kwenda kufanya vipimo huko Paris katika siku mbili tatu hizi.

Macho na masikio tuyaelekeze kwenye Ligue One pamoja na michuano ya Ulaya tushuhudie Messi akishindwa kucheza nje ya Spain.
Wajae kwa kutulia ngija awaoneshe maajabu
 
Kelele nyingi zimekuwa zikisambaa kwa ile hoja dhaifu eti Messi hawezi cheza pahala pengine zaidi ya timu yake toka utotoni FC Barcelona.

Taarifa latest zinasema mchawi huyu wa soka yupo mbioni kwenda kufanya vipimo huko Paris katika siku mbili tatu hizi.

Macho na masikio tuyaelekeze kwenye Ligue One pamoja na michuano ya Ulaya tushuhudie Messi akishindwa kucheza nje ya Spain.

Mbali na ilo, waulize alizifanya nini klabu kubwa za uingereza!!!
 
Shabiki mandazi wewe. Ronaldo CR7 alishaprove uwezo wake ndani ya EPL.
Kuhusu kwenda BURLEY, mbona MESSI hajaenda hata monaco?
Suala la nani aende wapi hilo ni suala lake na wakala wake wapi kuna maslahi wapi niaje niaje.
kuprove kitu gani...kwahiyo unataka kusema Messi sio bora kwasababu kacheza ligi moja....kwahiyo suarez..etoo..ibrahimovic na lukaku ni bora kuliko Messi.......unachekesha mzee.

Messi popote anaweza kucheza tena kikosi cha kwanza dakika zote...Mmeanza kuhamisha magoli..mlitaka ahame sasa kahama mnataka kuleta hoja mufu zingine...Timu ya taifa kashawazodoa mnabaki na hoja ambazo sio za kimichezo.

kwahiyo kwa maoni yako, unataka mchezaji ili awe bora acheze ligi ipi na ipi?

Mmebaki kusemal igi ya spain rahisi..mbona henry na hazard imewashinda?...Hebu kati ya timu za england na spain zipi zimebeba mara nyingi makombe ya ulaya (UEFA NA EUROPA) Kuanzia 2008 - 2021?......kama ligi ya england ni ngumu, kwanini haijatoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka 10 iliyopita?

Acheni chuki binafsi....angeenda Man city bado mngesema kaenda timu yenye wachezaji bora...Ongea kama shabiki wa soka usiongee kama mshangiliaji wa soka.

Top six ya epl ni city, united, liverpool, chelsea, spurs na arsenal (nimewaweka tu kutokana na brand yao)......Hebu niambie nani kati ya hawa hajakutana na shuruba za Messi?

sasa hao akina villa, leicester, everton na wengine ndio wangemuweza...Fikiria upya mkuu.
 
Mfa maji haishi kutapatapa mkuu. Lazima waje na sababu tu hawa, hawakubali kushindwa kabisa. Kahama bado maneno
 
Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
Man city hawajapeleka ofa mkuu, au ulitaka aende akacheze bure ili watu wafurahie?
 
Hoja yako ni mfu..kwnz tuanze team gani ya England umesikia imepeleka ofa Messi amekataa kwenda..we unahis ataenda tu kucheza bila kupelelewa ofa..na mm hata siamini kbs tena ni hoja rubbish eti lzm acheze ligi tofaut ndo awe bora huo ni uzwazwa ambao wanaongelea iyo hoja walikua fans wa cr7 kwa sbb hawana cha muhimu...izo team za England ndo anaongoza kuzifunga kwny uefa...mtaongea mnavotak lkn anachukua tuzo ya 7 mwaka huu na anacheza psg msitegemee tofaut ana nafas kubwa ya kubena uefa na anachukua Ballon D'or ya 8 pia..kwhy mtaongea tu lkn ukwl ndo huo.
 
Angeenda EPL kama ana ubavu
Ulituma offer mkuu?...au timu gani ilituma offer kutoka EPL ikakataliwa....au nawewe ni mmoja wa wale ambao wanaamini messi hawezi epl..wale wanaoamini messi sio bora kwa sababu hajacheza epl...unamjua ronaldinho?, zidane, delima na rivaldo...unamjua figo?...Hivi hawa wamecheza epl? mbona mnawaheshimu sana...au ni chuki binafsi tu kwa Messi.
 
Man city hawajapeleka ofa mkuu, au ulitaka aende akacheze bure ili watu wafurahie?
[emoji23] si ndo hapo unawashangaa hawa mashabik oya oyaa..eti angeenda England aende kwa bure au..ww mtu hajapewa ofa hlf unaleta ushabik eti angeenda England tuone..uone nn wkt ndo team anaongoza kuzufunga...ivi kwl utakua mpumbav na mjinga kiasi gani kuamini Hazard ameshine England wakina Henry wameshine huko hlf eti ligi iyo iyo ije imshinde Messi..ni utakua mpumbav tu na mshabik obsessed wa cr7 ambae hatumii akil kufikir.

We waache wapige kelele wanavoweza uwanjan wanajibiwa..walisema hajachukua kombe la kimataifa kabeba na amehama team ya club pia.
20210811_120045.jpg
 
Ulituma offer mkuu?...au timu gani ilituma offer kutoka EPL ikakataliwa....au nawewe ni mmoja wa wale ambao wanaamini messi hawezi epl..wale wanaoamini messi sio bora kwa sababu hajacheza epl...unamjua ronaldinho?, zidane, delima na rivaldo...unamjua figo?...Hivi hawa wamecheza epl? mbona mnawaheshimu sana...au ni chuki binafsi tu kwa Messi.
Na hao wote uliowataja hapo hawajacheza Epl..lkn kwa sbb washabik wa Cr7 ni inept wanaleta hoja nyepes kujificha hapo..ambazo sasa hazina hata mashiko..mtu anakwambia angeenda epl utafikie yy ndo alipeleka iyo ofa aende.
 
Jamaa ana matatizo sana...akina Totti, lewandoski, Del piero, mbappe, wanaheshimika kwa vipaji vyao licha ya kucheza ligi moja tu.
Hawa hata wasikupe shda mkuu...ni washabik wa cr7 wanaopata mhaho.

Mambo yatakua ivo come December.
IMG_20210810_235330.jpg
 
Nilitegemea angeenda MAN UTD ndio ungekuja na uzi wako. Lakini kaenda farmers ligi na club iliosheheni wenye uwezo nadhani ataonekana mkali kuzidi ule ukali alionao. Angejitosa pale man utd au man city awe anaona nginja ngija za akina wovermpton, aston villa, leicester.
Messi ni mchezaji was dunia
Club Tatu ndizo zilikuwa na uweZo wa kumchukua
PSG,Chelsea na man city
 
Shabiki mandazi wewe. Ronaldo CR7 alishaprove uwezo wake ndani ya EPL.
Kuhusu kwenda BURLEY, mbona MESSI hajaenda hata monaco?
Suala la nani aende wapi hilo ni suala lake na wakala wake wapi kuna maslahi wapi niaje niaje.
nimekuliza swali rahisi tu umeanza kunitukana.. duh

Suala la nani aende wapi hilo ni suala lake na wakala wake wapi kuna maslahi wapi niaje niaje.
sasa kwanini unataka Mess aende Man u??
hauoni hiyo ni double standard??
 
Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
Yaani mpaka hapo huja prove kuwa anaweza mpaka abadilishe ligi?hivi gwiji Pele alichezea ligi ngapi hadi anastaafu?
 
Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
Yaani hadi leo unaquestion uwezo wa messi?
 
Back
Top Bottom