Mliokuwa mnafaulu sekondari hasa masomo ya hesabu mlikuwa mnatuchukuliaje sisi tuliokuwa tunafeli?

Mliokuwa mnafaulu sekondari hasa masomo ya hesabu mlikuwa mnatuchukuliaje sisi tuliokuwa tunafeli?

aliekatakamba humutuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
1,439
Reaction score
2,412
Aisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri

Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio tuliosomea wanajitolea sio ajira rasmi

Nilikuwa kwenye mnyama ford ranger aisee wamepagawa kuona niliefeli naendesha mnyama huyu kirahisi tu

Wanataka niwape michongo yamjini😁😁nikatamani kuwazomea

Nikawaambia tutachekiana nikawaachia namba ambayo haipatikani

Tatizo kipindi hicho tunasoma washkaji walikuwa wanawaelekeza masomo mademu tu sisi washkaji zao wanatukataa

Tumepita shotkati na tumetoboa sasahivi najifunza kingereza ubaya ubwelaa

Mlikuwa mnatuchuliaje kenge nyie?
 
Kwani ni pesa ambayo ndio huchagua kuishi na baadhi ya watu au baadhi ya watu ndio huchagua kuishi na pesa?
 
Aisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri

Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio tuliosomea wanajitolea sio ajira rasmi

Nilikuwa kwenye mnyama ford ranger aisee wamepagawa kuona niliefeli naendesha mnyama huyu kirahisi tu

Wanataka niwape michongo yamjini😁😁nikatamani kuwazomea

Nikawaambia tutachekiana nikawaachia namba ambayo haipatikani

Tatizo kipindi hicho tunasoma washkaji walikuwa wanawaelekeza masomo mademu tu sisi washkaji zao wanatukataa

Tumepita shotkati na tumetoboa sasahivi najifunza kingereza ubaya ubwelaa

Mlikuwa mnatuchuliaje kenge nyie?
Rubbish
 
So ulitaka walio kua wanafaulu vizuri wawe na Matajiri?? ,how?? Bado huna akili??Elimu Yao imefanya wamekua walimu,sio Jambo zuri hilo??
 
Hongera mkuu angalau umetuwakilisha back bencha, sisi wengine tulikuwa viazi darasani na huku nje bila bila, tumebaki kama wasindikizaji
 
Kufaulu niseme ilikuwa tuu bahati, bidii na zamu yangu kwa wakati huo, nilifika advance hesabu selewi hizi za bam lkn chuoni aaah chapu
 
Kuna mwamba Fulani alikuwa anavunja hesabu za desa la complete, anamiliki Abbott na Lambert akachaguliwa kwenda tosamaganga kukamua PCM. Sisi tulioenda hKunani na vithrii vyetu vya mwisho alikuwa anatudharau sana. Leo mwamba na PCM yake ya point 8 na bachelor ya chemical processing ni mchoma chips na msimamizi wa guest bubu na anakinywa Kila pombe inayokuja mbele yake
 
Huu sio mwandiko wa mtu anae miliki gari
Kaka kwema ? Mwenzio nimechukua fomu ya udiwani huku kijijini niombee sana tena sana napitia mapingamizi makubwa sababu ya dini ya haki na pia walevi wenzangu wamenisariti wapo na jamaa ni mchungaji .

Maombi yako kaka sina raha kabisa
 
Back
Top Bottom