aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
nishaajua mitegoyake haiwezi kuisha kakaSalimia watu pesa huisha....
baadhi ya watu ndio tunachagua kuishi na pesaKwani ni pesa ambayo ndio huchagua kuishi na baadhi ya watu au baadhi ya watu ndio huchagua kuishi na pesa?
RubbishAisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri
Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio tuliosomea wanajitolea sio ajira rasmi
Nilikuwa kwenye mnyama ford ranger aisee wamepagawa kuona niliefeli naendesha mnyama huyu kirahisi tu
Wanataka niwape michongo yamjini😁😁nikatamani kuwazomea
Nikawaambia tutachekiana nikawaachia namba ambayo haipatikani
Tatizo kipindi hicho tunasoma washkaji walikuwa wanawaelekeza masomo mademu tu sisi washkaji zao wanatukataa
Tumepita shotkati na tumetoboa sasahivi najifunza kingereza ubaya ubwelaa
Mlikuwa mnatuchuliaje kenge nyie?
fundisha huko mwalimu acha hasiraSo ulitaka walio kua wanafaulu vizuri wawe na Matajiri?? ,how?? Bado huna akili??Elimu Yao imefanya wamekua walimu,sio Jambo zuri hilo??
Mbona mwijaku kichwani hazimo na gari anamiliki?Huu sio mwandiko wa mtu anae miliki gari
Mimi sio size yako faggot,bishana na wa kijijini wenzio fankurofundisha huko mwalimu acha hasira
Siyo kila mtu anaweza kuwa mwizi au mtoa kafara.Tumepita shotkati na tumetoboa
Kaka kwema ? Mwenzio nimechukua fomu ya udiwani huku kijijini niombee sana tena sana napitia mapingamizi makubwa sababu ya dini ya haki na pia walevi wenzangu wamenisariti wapo na jamaa ni mchungaji .Huu sio mwandiko wa mtu anae miliki gari
teseka sasaSiyo kila mtu anaweza kuwa mwizi au mtoa kafara.