Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Sana... Na Wewe ni Njaa GROUP? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sukuma gang mnachekesha sana.
Hata mimi tu nawazidi Sana Mwaka wa nane huu natumikia umma na deliver MNO!!Ngoja muanze kuuza sura press mtanielewa tu!!Siku zote chambua CV ya mtu kwanza kabla ya kuanza kumwagia sifa, angalia CV ya Nape kuna kipi cha maana ? Angalia CV ya Makamba kuna hata mada inasema hapa aliiba Mitihani Shuleni, Zito Kabwe ambaye hata mnamtegemea eti Mchumi, CV yake inasema nini kuhusu Uchumi ? Kuna kipi cha maana amefanya kitaaluma ? Halafu leo hii mnategemea atatue tatizo la nchi?
Huyu usimtaje ni moja kati ya majanga makubwa kuikumba nchi hii. Ingawa January naye ni fakeMagufuli alitusaidia sana kujua ujinga wao. No wonder wanamchukia hata katika umauti wake.
Unawategemea CHADEMA ndiyo wakuandikie katiba mpya?Machadema ni majinga sana!
Eti yanamsifia Nape na Makamba ili kumkomoa marehemu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
By the way, hivi Mbowe na genge lake wameshamaliza kuandika katiba mpya?
Piga kazi mkuu, ila hala hala usijetumbukia kwenye hilo kundi, wenyewe wanaita system, eti kuna level ukifika kuna vitu huwezi kuamua mwenyewe.Hata mimi tu nawazidi Sana Mwaka wa nane huu natumikia umma na deliver MNO!!Ngoja muanze kuuza sura press mtanielewa tu!!
Labda tunatofautiana mtazamo wengine wanaona ni viongozi wazuriNliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.
Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu.
Haya leo hii mnamchagua nani tena awe mteule wa kumwagia sifa za kijinga Jukwaani?
Kwan kuna tatizo January kua Rais WA taifa hili baada ya mama? Ha ha ha ana haki na sifa zote we tabu yako ni nin? Kama unazo na wewe ni haki yako pambana uwe RaisNliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.
Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu.
Haya leo hii mnamchagua nani tena awe mteule wa kumwagia sifa za kijinga Jukwaani?
Mkewe January akisoma hii texts navyojua wanawake wana wivu sana mtagombana mpaka kuche.Kwan kuna tatizo January kua Rais WA taifa hili baada ya mama? Ha ha ha ana haki na sifa zote we tabu yako ni nin? Kama unazo na wewe ni haki yako pambana uwe Rais