Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wale mliokuwa mnapopoma kwa domo kaya kuhusu mkataba wa Azam na TFF kwamba ni muda mrefu na pesa kiduchu tunaomba sasa mtumie fursa ya kufadhili Ligi kuu Bara japo kwa mwaka mmja ili tuone matunda ya midomo yenu.
Hii nchi ina majitu yana midomo sana lakini vitendo ni zero, fanyeni ku justify hoja zenu maana na nyie mtatangaza na timu zitavaa jezi za matangazo na mtapata kiingilio ili mpige pesa.
Hii nchi ina majitu yana midomo sana lakini vitendo ni zero, fanyeni ku justify hoja zenu maana na nyie mtatangaza na timu zitavaa jezi za matangazo na mtapata kiingilio ili mpige pesa.