Mliokuwa mnapiga kelele Azam Kupata kandarasi ya Miaka 10, Vodacom wamejitoa, fadhilini Ligi japo mwaka Mmoja

Mliokuwa mnapiga kelele Azam Kupata kandarasi ya Miaka 10, Vodacom wamejitoa, fadhilini Ligi japo mwaka Mmoja

Vodacom wameogopa aibu na fedheha. Embu fikiria kama Azam ambao sio wadhamini wakuu wameweka mpunga mrefu vile je hao Vodacom wangeweza kuweka mpunga mrefu kiasi gani wa kuuzidi Azam ili kuonekana kuwa wao ndio wadhamini wakuu?
Nimesikia clouds wakimuhoji mtu wa bodi ya ligi kumbe voda walianza kukwama toka last year, walishindwa kutoa bilioni tatu ya mwaka wa mwisho ya mkataba
 
Vodacom walijiingiza kwenye siasa na ndio madhara yake. Nilikuwa namiliki laini ya voda lakini tokea kipindi walivyotoa Siri flani kwa sirikali hapohapo nkachoma line yao. Waache uswahili kwenye biashara
 
Kwanini tusithamini lugha yetu na kuiita "LIGI KUU"

"premier league" ni brand ya ligi ya Uingereza na tunapotumia hilo jina kama tuna-lack originality. Labda hii ni kwasababu viongozi wengi wa mpira hawana exposure na wana uelewa mdogo sana wa branding and marketing.

Hoja ya msingi sana!
Tuna viongozi wasio na maono wala ubunifu..tabu tu
 
Hao Vodacom ndio wamewainua na kuwafikisha hapo mlipo leo muwe na adabu, na huyo Azam hata kama atapata zaidi nyie mnachekelea tu.
Sawa lakini kwa pesa kiduchu hizo hizo, hoja hapa ni kwamba kuna mapunga yalikuwa yanalaumu Tff na azam kwa mkataba eti pesa ni kiduchu afu mkataba mrefu. Sasa huu ni wakati wao waweke hizo pesa nyingi kwenye ligi ili wafaidi nao maana tayari Vodacom wamejitoa sio kubwabwaja domo kama kujamba
 
Voda ni genge la wahuni,kwanza vifurushi vyao ni vya wizi wizi tu,gb 10 zinakata ndani ya lisaa hapo huja download kitu chochote....
Hawa mbwa leo nimejitoa rasmi kwao nimehamia Tigo nateleza na 4G hapa .Nafikiria kuitoa laini yao kwenye simu niwe na Tigo na Htel.Ni wezi sana hao,wanataka hasara zao tubebe sisi
 
Vodacom wameogopa aibu na fedheha. Embu fikiria kama Azam ambao sio wadhamini wakuu wameweka mpunga mrefu vile je hao Vodacom wangeweza kuweka mpunga mrefu kiasi gani wa kuuzidi Azam ili kuonekana kuwa wao ndio wadhamini wakuu?
Kwa kawaida wanaorusha matangazo wanatoa pesa ndefu kuliko mdhamini wa ligi. Hiyo ipo wazi kwa nchi zote. Pesa anayotoa Dstv kurusha ligi ya Epl na ligi zinginezo huwezi kufananisha na pesa ya mdhamini wa ligi. Mdhamini wa ligi anatoa pesa kiasi Cha kawaida tu.
 
DUUUH! SOMA KWA MAKINI ULICHOANDIKA MKUU, UMESOMA MARKETING MKUU? TAFUTA KITU KINACHOITA AIDA MODEL, AZAM KILA ANAPORUSHA GAME LAZIMA NENO VODACOM LIONEKANE UNAJUA ANACREATE AWARENESS KIASI GANI?
Kuna awareness na kuna uhalisia ...
Azam hela yake ya kingamuzi kwa mwezi mmoja kama narudi kama kuna game ya Simba na Yanga anauwezo wakufikisha zaidi ya B kadhaa ( malipo ya kifurushi)
 
Back
Top Bottom