Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kuna jamaa yangu wa Vodacom anasema miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakipata hasara, kwahivo sishangai walivyojitoaVodacom wameogopa aibu na fedheha. Embu fikiria kama Azam ambao sio wadhamini wakuu wameweka mpunga mrefu vile je hao Vodacom wangeweza kuweka mpunga mrefu kiasi gani wa kuuzidi Azam ili kuonekana kuwa wao ndio wadhamini wakuu?
Aaa wapiVunja bei achangamkie fulsa hii.
Wunha hei ahangamkie fuha....Vunja bei achangamkie fulsa hii.
Ifike muda watenganishe hayo mambo..yatatukwamisha uko mbele..Azam kinachomponza NI ile kanzu yake na makobazi.
Dogo hebu soma tena ulichokiandika ndio utagundua kichaa ni nani.Wunha hei ahangamkie fuha....
kichaa kweli ww.......
muuza lonya ataweza kuweka zaidi ya 250 B
Taja ligi moja ambayo mdhamini mkuu analipa zaidi ya mwenye haki za tv?Vodacom wameogopa aibu na fedheha. Embu fikiria kama Azam ambao sio wadhamini wakuu wameweka mpunga mrefu vile je hao Vodacom wangeweza kuweka mpunga mrefu kiasi gani wa kuuzidi Azam ili kuonekana kuwa wao ndio wadhamini wakuu?
Huu ndio ukweliKuna jamaa yangu wa Vodacom anasema miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakipata hasara, kwahivo sishangai walivyojitoa
DUUUH! SOMA KWA MAKINI ULICHOANDIKA MKUU, UMESOMA MARKETING MKUU? TAFUTA KITU KINACHOITA AIDA MODEL, AZAM KILA ANAPORUSHA GAME LAZIMA NENO VODACOM LIONEKANE UNAJUA ANACREATE AWARENESS KIASI GANI?Tofauti ya ufadhili wa Azam na Vodacom, Azam anapata faida moja kwa moja kupitia kuuza ving'amuzi na kulipiwa ving'amuzi lakini voda haingizi faida faida zaidi ya kujitangaza hivyo huwezi kulinganisha faida wanazopata kwani Azam anafadhili huku akiingiza pesa wakati voda anafadhili lakini pesa yake hairudi kwa wakati mwafaka.
Ni "FURSA" na si fulsaVunja bei achangamkie fulsa hii.
Unachosoma darasani sio lazima kiendane na uhalisia sanasana kinakusaidia kuongeza uwezo wako wa kufikiri.DUUUH! SOMA KWA MAKINI ULICHOANDIKA MKUU, UMESOMA MARKETING MKUU? TAFUTA KITU KINACHOITA AIDA MODEL, AZAM KILA ANAPORUSHA GAME LAZIMA NENO VODACOM LIONEKANE UNAJUA ANACREATE AWARENESS KIASI GANI?