hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Maana ake aliyezaliwa miaka ya 70 ilimkuta akiwa mtu mzima mwenye uwezo wa kutunza kumbukumbuEl Nino ilikuwa 1997-98
kipindi hicho nilikuwa na miaka 17 daah Hali ilikuwa mbaya Sana mvua ilivyunja madaraja,nyumba ,na mabanda ya mamantikieWakuu, wazee, hivi hata El nino ya 70s nayo ilikuwa inanyesha kidogo kidogo kwa mda mrefu kama hii ya dar?
Tusimulieni kidogo jinsi mlivyoiona huku mkiifananisha na hii tuchukue tahadhari.
hahahhahahh dah komenti zingine humu ni balaaaUsinikumbushe Tanzania yote ilijaa maji nakumbuka kutoka singida kwenda dodoma watu walikua wanaenda na mitumbwi.
Enzi hizo nilikua na miaka 38 ilibidi nitumie kopo la kuogea nachota machi singida namwaga upande wa tabora shinyanga ili yaende ziwa victoria
Kabisa.Waanze kutembea na sabuni tu ili mvua zikinyesha wanaendelea kujipaka sabuni hizo na kujitakasa.Achen uoga
Daah mamaee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinikumbushe Tanzania yote ilijaa maji nakumbuka kutoka singida kwenda dodoma watu walikua wanaenda na mitumbwi.
Enzi hizo nilikua na miaka 38 ilibidi nitumie kopo la kuogea nachota maji singida namwaga upande wa tabora shinyanga ili yaende ziwa victoria
Ndio kama hiiNakumbuka ya mwaka 1997 ilikuwa siyo kwamba inapiga kwa fujo, la hasha! Inapiga kwa utulivu ila muda mrefu halafu inanyesha siku nyingi, jua linawaka siku chache sana.