Mliokwepo Morogoro miaka ya 90's mnawakumbuka Wasanii na Makundi haya?

Hao jamaa siwapati ata hivyo era ya Juma Nature mimi sikiwepo moro.
 
Hivi kuna jamaa sijui alikua anaitwa master brosi au sijui nani aliimba mwimbo kuna SAA Mimi nakakaa najiuliza, ...... Haya maisha ninayoishi Mimi unakaa najiuliza sana, sijui nitokako sijui niendako nn maana ya maisha. Nakumbuka alikua moro
 
Ulikuwa himaya ipi mkuu?
 
Moro ilikuwa vizuri sana zamani. Kuanzia 🎵 hadi ⚽. Kulikuwa kunapigwa ndondo pale uwanja wa shujaa sio mchezo. Mji una vipaji sana ule. Tuliokulia na kuona Moro ile tuliinjoy sana. Nash G kuna kipindi alikuwa anatangaza Abood FM.

Naomba nijifunze wadau, kuna Tozi nyangema fulani hivi miaka ya 2000 alikuwa maarufu sana Moro kila alipokuwa anapita watu wanamshangilia amepotelea wapi?
 
Wengi hudhani hivyo lkn Mbaraka Mwinshehe si wa Morogoro..ni wa Kisarawe Pwani..moro alikua kikazi tu..Mbaraka mwinshehe alipokufa kenya alikuja kuzikwa Tanzanian katika Kijiji chake cha asili Mzenga kilichopo huko kisarawe
Uko sawa kabisa
 
ni kweli mluguru mi ni mluguru pure Mrs Ivan, jumlisha na uzaramo wa dutumi kibaha vijijini, mimi miaka ya 90's nimekaa sana moro chamwino,kwa mangi dolee tulikuwa tunacheki video pale,,,,,
Wewe ni bwana Banzi wa Chenzema ama wapi
 

Huyo NASH G alikuwa anaiga style ya AY enzi hizo AY akitamba na style yake ya commercial .. AY nae aliiga toka kwa SAIGON.. zamani ilikuwa hutoki bila kuiga style ya msanii aliyetoka tayari
 
acha kuzingua wewe time io afande sele mtu pori anafanya mishe zake dar na Mr II sema alikuwa bitozi tofauti na sasa hivi ni culture.....shida apo umechanganya era ao kina nash G wako ni mwanzoni mwa miaka ya 2000
Mkuu upo sahihi kachanganya madesa kiaina ila hao aliwataja wengi wao walikuwa watoto wa shule maarufu 1994-2002.
 
Umetisha sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…