Watukutu.Hapa ni Swed,Puzzo,Salam na KeyDj
Wapayukaji.Hapa ni Doggy one,King killer,na Crazy P
ZdonP.Hapa ni Nash G,Squeezer na yusuph
BoyG.One man show
Dabble G.Sikumbuki
N.k...Promotes wakiongozwa na Mussa Maurusi
Battle ilikuwa Dar moro nani zaidi,Kiwanja kilikuwa rock garden,Moro hotel na Mango park.
Hapo hata Afande sele hajulikani kama yupo au atakuja kuwepo.
Konseti zilikuwa Forest hill zikiongozwa na Puzzo lee.Dj maarufu Peter moo,John K na Dilinga
Hivi hayo makundi yameishia wapi.Na hao watu wapo wapi kwa sasa.au ndio hawa wanaovuma wamebadili majina.