Mliomchukua Peter Msigwa mnajua mnakompeleka au katuma na TISS ya CDM?

Mliomchukua Peter Msigwa mnajua mnakompeleka au katuma na TISS ya CDM?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Huyu hapa msikilizeni!
 
Attachments

  • 5757486-c81ec4f2f451b676fbd064c847c648dd.mp4
    5 MB
  • 5757450-2d34d6c66ed94e4c5aaaed0c01398d55.mov
    1.4 MB
  • 5757228-2d34d6c66ed94e4c5aaaed0c01398d55.mov
    1.4 MB
Msigwa msimamo wake ulikuwa upi dhidi ya CCM?
 
Haya maisha... Kweli amelaaniwa amtumainie mwanadamu kama kinga yake...
 
Msigwa msimamo wake ulikuwa upi dhidi ya CCM?

..msimamo wa Msigwa wa siku nyingi ni kwamba umasikini wa Watanzania umesababishwa na Ccm. Na kwamba maeneo ambayo wananchi wameikataa Ccm yana nafuu ya kiuchumi na yanapiga hatua za maendeleo.
 
Kuna jambo tunaamini tunalijua but hatulijui.
Kuna anayedanywa

Ni swala la muda..
 
Kuna jambo tunaamini tunalijua but hatulijui.
Kuna anayedanywa

Ni swala la muda..
Hapo umenena kweli... Tuache muda uongee... Jee aliyeuza cheni ya bandia naye kapewa noti bandia au mtoa noti bandia kapewa cheni halisi ama kinyume chake!!??
 
Maneno hayo aliyasema akiwa na imani na CHADEMA, lakini sasa imani imemtoka, hana hamu tena na Mbowe. Mwenyekiti Mungu wa CHADEMA.
 
Maneno hayo aliyasema akiwa na imani na CHADEMA, lakini sasa imani imemtoka, hana hamu tena na Mbowe. Mwenyekiti Mungu wa CHADEMA.

..Ni mambo ambayo yanahusu misimamo binafsi ya Msigwa, hayahusiani na uongozi wa Mbowe.
 
Back
Top Bottom