peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Msigwa msimamo wake ulikuwa upi dhidi ya CCM?
NJAA MBAYA SANAHuyu hapa msikilizeni!
Hapo umenena kweli... Tuache muda uongee... Jee aliyeuza cheni ya bandia naye kapewa noti bandia au mtoa noti bandia kapewa cheni halisi ama kinyume chake!!??Kuna jambo tunaamini tunalijua but hatulijui.
Kuna anayedanywa
Ni swala la muda..
Maneno hayo aliyasema akiwa na imani na CHADEMA, lakini sasa imani imemtoka, hana hamu tena na Mbowe. Mwenyekiti Mungu wa CHADEMA.