NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Na wala Chama hakuandika barua labda kama wamemwandikia.Chama ni mkubwa kuliko Simba sc
Mnaopiga makelele aondoke mnajisumbua tu.
"Simba sc haijamsamehe Chama Bali Chama kaisamehe Simba sc"View attachment 2891541
Vyura bhana...
Sioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.Chama ni mkubwa kuliko Simba sc
Mnaopiga makelele aondoke mnajisumbua tu.
"Simba sc haijamsamehe Chama Bali Chama kaisamehe Simba sc"View attachment 2891541
Kwani mnawashwa wapi?Na wala Chama hakuandika barua labda kama wamemwandikia.
Ni aibu kwa timu kubwa kama Simba mchezaji kuwa juu na timu kuwa chini. Mbona mwenzake wamemsepesha?
Nonsense!
Uzi ufungwe
Chizi umerudi ..!UTOTO RAHA SANA JAMANI.
Ameomba msamaha wapi?Sioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.
HahahahahaVyura bhana...
Kwani nyie huwa mnaangaliaga hoja ? Si ili mradi tu mbishane ..muitane majina yenu pendwa siku iishe .kesho muendelee tenaSioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.