Mliomdhihaki Chama na kuimba nyimbo za kusema kuwa "Chama aondoke" haya Simba sc wameonesha udogo wao kwa Chama kwa kumsamehe utovu wake wa Nidhamu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Chama ni mkubwa kuliko Simba sc
Mnaopiga makelele aondoke mnajisumbua tu.

"Simba sc haijamsamehe Chama Bali Chama kaisamehe Simba sc"
1706854826656.jpg
 
Tulisha andika mda mrefu, kwasasa Simba hawako katika nafasi ya kumfanya chochote Chama, Hawana mchezaji wa kuziba nafasi yake, Angalau wangekua na namba 10 wa maana wangeweza kujaribu.

Kwa Sasa Wana Saidoo ambaye Staili yake ya kucheza ni kushambulia mojakwa Mojakwa moja na si kwa kuangalia wanao mzunguka Wana uwezo upi?

Saidoo ili akuchezeshe, akiwa anakimbia na mpira nawewe kimbia kwenye nafasi , utafunga Sana.
Chama ana kurahisishia kwa kuwapumbaza ma defender na kuku wekea Mali pale ulipo ukiwa unakimbia au umesimama kwenye nafasi.
Saidoo ni predictable wakati Chama ni Ngumu kumwelewa anataka kufanya Nini ila Yuko taratibu.
Yote kwa yote kitendo Cha Chama kupelekewa picha inayo onyesha Try Again, Mangungu na CEO wamepiga magoti wakiomba radhi kwa yaliyo tokea, kime mfanya Chama akubali kuendelea kuitumikia Simba kwa nguvu zake zote.
 
Chama ni mkubwa kuliko Simba sc
Mnaopiga makelele aondoke mnajisumbua tu.

"Simba sc haijamsamehe Chama Bali Chama kaisamehe Simba sc"View attachment 2891541
Na wala Chama hakuandika barua labda kama wamemwandikia.
Ni aibu kwa timu kubwa kama Simba mchezaji kuwa juu na timu kuwa chini. Mbona mwenzake wamemsepesha?
Nonsense!
 
Chama ataondoka na atakuja star mwingine, naye atafuata nyayo hizi hizi za Chama.
 
Hamna cha ajabu hapo, vilabu hivi vya kitanzania ni vilabu vya kiswahili sio Professional Sides.
 
Chama ni mkubwa kuliko Simba sc
Mnaopiga makelele aondoke mnajisumbua tu.

"Simba sc haijamsamehe Chama Bali Chama kaisamehe Simba sc"View attachment 2891541
Sioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.
 
Na wala Chama hakuandika barua labda kama wamemwandikia.
Ni aibu kwa timu kubwa kama Simba mchezaji kuwa juu na timu kuwa chini. Mbona mwenzake wamemsepesha?
Nonsense!
Kwani mnawashwa wapi?
 
Sioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.
Ameomba msamaha wapi?
Simba ni mbwa wa chama ..! Anamuongoza kwa miluzi atakavyo
 
Sioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.
Kwani nyie huwa mnaangaliaga hoja ? Si ili mradi tu mbishane ..muitane majina yenu pendwa siku iishe .kesho muendelee tena
 
Back
Top Bottom