kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nkana nao washamtema siku nyingiNa uzuri simba asingetemwa...
Mwenzake Ndemla yupo tu kiwango kinapanda na kushuka ila yupo tu pale simba.
Kiburi kilimponza dogo, Azam wakamtema akaokotwa na mazembe nao wamemtupa migodini zambia huko.
aende clouds kwa yule tapeli aliyemshawishi, akachezee timu ya clouds wanapocheza na TBCNkana nao washamtema siku nyingi
Hakupata nafasi, akapelekwa Nkana kwa mkopo, nao sijui wamempeleka wapi maana kwenye line-up za Nkana huwa simuoniDogo si alisajiliwa TP Mazembe pamoja na Eliud Ambokile ?
Vipi Eliud Ambokile ?Hakupata nafasi, akapelekwa Nkana kwa mkopo, nao sijui wamempeleka wapi maana kwenye line-up za Nkana huwa simuoni
Ibrahim Ajib walimdanganya akaanza kuvaa jezi za Utopolo ilihali yuko Simba. Akasajili utopolo kama takataka walivyokuwa wanabwabwaja. Akategwa na Usajili wa kurudi tena Simba akanasa tunduni kwa sasa yupo Msimbazi analambishwa matapishi yake ili akili ikae sawa.
Na uzuri simba asingetemwa.
Mwenzake Ndemla yupo tu kiwango kinapanda na kushuka ila yupo tu pale simba.
Kiburi kilimponza dogo, Azam wakamtema akaokotwa na mazembe nao wamemtupa migodini zambia huko.
Yupo kule walipo akina Kakolanya na Gadiel MichaelKuna mchambuzi mmoja aliyejaribu kuleta presha na kutengeneza majungu akiamini kwa njia hiyo Simba itafanya lolote alitakalo.
Mchambuzi huyo aliyepachikwa jina la "taka taka" alihusika sana kumpotosha huyo kijana na kupelekea hadi hivi ninavyoandika hapa, huyo kijana hajulikani alipo na sina uhakika na mafanikio yake.
Wasiwasi wangu ni kuwa hakustahili kuwa alipo pengine angekuwa anafaidi matunda ya soka Simba au vilabu vya nje ambavyo vingemuona akiwa Simba.
Tuambieni leo baada ya ujuaji wenu wa kiswahili, yuko wapi? Au mlimpotosha mkamtelekeza?
Wanakolamba mamilioniYupo kule walipo akina Kakolanya na Gadiel Michael
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ndio, wamestaafu kucheza sasa wanalipwa kama watazamaji.Wanakolamba mamilioni
Nadhani ni hivyo.....Ndio, wamestaafu kucheza sasa wanalipwa kama watazamaji.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ulitegemea dogo atacheza milele?Kuna mchambuzi mmoja aliyejaribu kuleta presha na kutengeneza majungu akiamini kwa njia hiyo Simba itafanya lolote alitakalo.