Mliompotosha tuambieni Ramadhani Singano yuko wapi

Mliompotosha tuambieni Ramadhani Singano yuko wapi

Na uzuri simba asingetemwa.

Mwenzake Ndemla yupo tu kiwango kinapanda na kushuka ila yupo tu pale simba.

Kiburi kilimponza dogo, Azam wakamtema akaokotwa na mazembe nao wamemtupa migodini zambia huko.
Acheni kufoji mikataba nyau nyie
 
Ramadhani Singano yupo Nkana FC ya Zambia analipwa mshahara wa Dola 4000 kwa mwezi, sawa na milion 9 na laki mbili. Hakuna mchezaji yoyote mzawa wa Simba au Mtanzania katika klabu yoyoyote anaye lipwa fedha iyo apa Bongo. Mshahara wa Singano ni mara tisa ya msemaji wa Simba.
 
We jamaa kweli ni Redio, hizo data kawape wajinga wenzio huko utopolo. Nkana wamekuwa kucheza na Namungo hapa Tz,huyo Sindano haukuwepo hata kwenye lineup hata mechi ya Kule kwako Zambia hakuwepo.Yaani Kiufupi Singano hachezi Nkana.
 
Mkuu ,kutokuwepo kwenye lineup tu kunatosha kujibu hoja mezani???!!
 
Kuna mchambuzi mmoja aliyejaribu kuleta presha na kutengeneza majungu akiamini kwa njia hiyo Simba itafanya lolote alitakalo.

Mchambuzi huyo aliyepachikwa jina la "taka taka" alihusika sana kumpotosha huyo kijana na kupelekea hadi hivi ninavyoandika hapa, huyo kijana hajulikani alipo na sina uhakika na mafanikio yake.

Wasiwasi wangu ni kuwa hakustahili kuwa alipo pengine angekuwa anafaidi matunda ya soka Simba au vilabu vya nje ambavyo vingemuona akiwa Simba.

Tuambieni leo baada ya ujuaji wenu wa kiswahili, yuko wapi? Au mlimpotosha mkamtelekeza?
Hila ndugu zangu wa Simba mna nongwa kwani huyo singano na Gadiel Michael au Ajibu wana tofauti gani?

Ina maana Gadiel Michael na Ajibu walipotoshwa?
 
Singano kapotea kwenye ramani ya soka.
Wewe ndie ulie potea, ingia kwenye website ya Nkana utapata taarifa zake. Umbumbumbu wako na chuki zisikufanye uwe zuzu. Katika msululu wa wachezaji wa Nkana jina la Ramadhani Singano ni la 11.
 
Wewe ndie ulie potea, ingia kwenye website ya Nkana utapata taarifa zake. Umbumbumbu wako na chuki zisikufanye uwe zuzu. Katika msululu wa wachezaji wa Nkana jina la Ramadhani Singano ni la 11.
Naona unajaribu kulazimisha mnduku wako utafune muwa,na sio kazi ulioumbiwa.Komaa.
 
Back
Top Bottom