Acheni kufoji mikataba nyau nyieNa uzuri simba asingetemwa.
Mwenzake Ndemla yupo tu kiwango kinapanda na kushuka ila yupo tu pale simba.
Kiburi kilimponza dogo, Azam wakamtema akaokotwa na mazembe nao wamemtupa migodini zambia huko.
Adam Salamba yuko wap?
Namungo FcAdam Salamba yuko wap?
Takataka siku hizi amekuwa mfitini sanaTaka taka amekosa pia dili la Jezi 🤣 🤣 🤣
We jamaa kweli ni Redio, hizo data kawape wajinga wenzio huko utopolo. Nkana wamekuwa kucheza na Namungo hapa Tz,huyo Sindano haukuwepo hata kwenye lineup hata mechi ya Kule kwako Zambia hakuwepo.Yaani Kiufupi Singano hachezi Nkana.Ramadhani Singano yupo Nkana FC ya Zambia analipwa mshahara wa Dola 4000 kwa mwezi, sawa na milion 9 na laki mbili. Hakuna mchezaji yoyote mzawa wa Simba au Mtanzania katika klabu yoyoyote anaye lipwa fedha iyo apa Bongo. Mshahara wa Singano ni mara tisa ya msemaji wa Simba.
Mkuu ,kutokuwepo kwenye lineup tu kunatosha kujibu hoja mezani???!!We jamaa kweli ni Redio, hizo data kawape wajinga wenzio huko utopolo. Nkana wamekuwa kucheza na Namungo hapa Tz,huyo Sindano haukuwepo hata kwenye lineup hata mechi ya Kule kwako Zambia hakuwepo.Yaani Kiufupi Singano hachezi Nkana.
Singano kapotea kwenye ramani ya soka.Mkuu ,kutokuwepo kwenye lineup tu kunatosha kujibu hoja mezani???!!
Hila ndugu zangu wa Simba mna nongwa kwani huyo singano na Gadiel Michael au Ajibu wana tofauti gani?Kuna mchambuzi mmoja aliyejaribu kuleta presha na kutengeneza majungu akiamini kwa njia hiyo Simba itafanya lolote alitakalo.
Mchambuzi huyo aliyepachikwa jina la "taka taka" alihusika sana kumpotosha huyo kijana na kupelekea hadi hivi ninavyoandika hapa, huyo kijana hajulikani alipo na sina uhakika na mafanikio yake.
Wasiwasi wangu ni kuwa hakustahili kuwa alipo pengine angekuwa anafaidi matunda ya soka Simba au vilabu vya nje ambavyo vingemuona akiwa Simba.
Tuambieni leo baada ya ujuaji wenu wa kiswahili, yuko wapi? Au mlimpotosha mkamtelekeza?
Wewe ndie ulie potea, ingia kwenye website ya Nkana utapata taarifa zake. Umbumbumbu wako na chuki zisikufanye uwe zuzu. Katika msululu wa wachezaji wa Nkana jina la Ramadhani Singano ni la 11.Singano kapotea kwenye ramani ya soka.
Naona unajaribu kulazimisha mnduku wako utafune muwa,na sio kazi ulioumbiwa.Komaa.Wewe ndie ulie potea, ingia kwenye website ya Nkana utapata taarifa zake. Umbumbumbu wako na chuki zisikufanye uwe zuzu. Katika msululu wa wachezaji wa Nkana jina la Ramadhani Singano ni la 11.