Mliomtukana kocha kwa uteuzi wa wachezaji Stars mtauweka wapi usoni wenu?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.

Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.

Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
 
Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndio kaipeleka Stars Afcon.

Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wachambuzi wanastaili pongezi wamefanya game imechangamka
 
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.

Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.

Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
Konzi la kwanza ni kwa Jamedari
 
Ila Hana wachezaji wa kupata ushindi afcon,wengi waliocheza Ni watumia nguvu kuliko akili,ukimtoa Dismas,....aisuke timu ya kuzuia na kufunga sio kila mechi utazuiya na ufanikiwe mpaka dakika tisini,Kuna akili nimeziona za wachezaji wa Algeria kwetu hazipo.....
Mtu anagusa boli na apenyeza Mali popote anapotaka na anafanikiwa,jamaa wako mbele sana,japo tumesuluhu.
 
Starz imeshinda goli ngapi mechi ya leo

Hata hivyo ninafurahia kufuzu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wachambuzi wanastaili pongezi wamefanya game imechangamka
Ila levo za Afcon huwezi kucheza na kina Mane mpira wa hivi ukafanikiwa lazima pale mbele uwe na watu hatari wenye akili na nguvu....sisi bado unakuta westham ikizuia muda wote Ila ikipokonya Mali Ni hatari zaidi kuliko anayeshambulia muda wote,Sasa tukicheza kwa kuzuia afcon hatupati goli hata moja.
 
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.

Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.

Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu

mkuu usijali maana hao hao wachambuzi watachambua keshoo kocha kwa kumsifu.
 
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.

Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.

Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
Muhimu tumefuzu. Mengine hamna kitu. Halafu hatujakaba ila tumezuia.

Mungu alikuwa upande wetu. Tushukuru kwa kufuza lakini hamna cha maana kwa Stars.

Tushuruku kwa Uganda kuwa katika kipindi kibaya.

Wacheza kama wameokotana
 
Ila Hana wachezaji wa kupata ushindi afcon,wengi waliocheza Ni watumia nguvu kuliko akili,ukimtoa Dismas,....aisuke timu ya kuzuia na kufunga sio kila mechi utazuiya na ufanikiwe mpaka dakika tisini,Kuna akili nimeziona za wachezaji wa Algeria kwetu hazipo.....
Mtu anagusa boli na apenyeza Mali popote anapotaka na anafanikiwa,jamaa wako mbele sana,japo tumesuluhu.
Elewa mpango wa mechi ulikuwa ni kuzuia tu sio kupishana kama wao mzee
Yaani kukaba mwanzo mwisho no way muwe mnaelewa
 
Back
Top Bottom