Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
GENTAMYCINE aahaaaaStars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.
Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.
Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu