Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hakuna Kapombe, Shabalala wala Feitoto, tuache kukariri.Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo...
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.
Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndio kaipeleka Stars Afcon.
Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
Konzi la kwanza ni kwa JamedariStars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.
Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.
Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
Starz imeshinda goli ngapi mechi ya leoStars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.
Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.
Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
Ila levo za Afcon huwezi kucheza na kina Mane mpira wa hivi ukafanikiwa lazima pale mbele uwe na watu hatari wenye akili na nguvu....sisi bado unakuta westham ikizuia muda wote Ila ikipokonya Mali Ni hatari zaidi kuliko anayeshambulia muda wote,Sasa tukicheza kwa kuzuia afcon hatupati goli hata moja.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wachambuzi wanastaili pongezi wamefanya game imechangamka
0-0Starz imeshinda goli ngapi mechi ya leo
Hata hivyo ninafurahia kufuzu
Kocha alipanga mabeki watupu au ikawaje
Mabeki na maviungo wa kumwaga,aliingia kuzuia dakika 90.Kocha alipanga mabeki watupu au ikawaje
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.
Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.
Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
Muhimu tumefuzu. Mengine hamna kitu. Halafu hatujakaba ila tumezuia.Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana kocha, Leo amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu, sayansi na mikakati.
Wachezaji hawa hawa akina Bocco, Kibu wanaobezwa Simba ndio kocha kawapa nafasi, Benno Kakolanya aliyetemwa Simba ndiyo kaipeleka Stars Afcon.
Kuanzia leo nikikutana na wachambuzi mtaani ni makonzi tu
Elewa mpango wa mechi ulikuwa ni kuzuia tu sio kupishana kama wao mzeeIla Hana wachezaji wa kupata ushindi afcon,wengi waliocheza Ni watumia nguvu kuliko akili,ukimtoa Dismas,....aisuke timu ya kuzuia na kufunga sio kila mechi utazuiya na ufanikiwe mpaka dakika tisini,Kuna akili nimeziona za wachezaji wa Algeria kwetu hazipo.....
Mtu anagusa boli na apenyeza Mali popote anapotaka na anafanikiwa,jamaa wako mbele sana,japo tumesuluhu.
Siyo mbinu mbaya.Mabeki na maviungo wa kumwaga,aliingia kuzuia dakika 90.