Mliomtukana kocha kwa uteuzi wa wachezaji Stars mtauweka wapi usoni wenu?

GENTAMYCINE aahaaaa
 
Muhimu tumefuzu. Mengine hamna kitu. Halafu hatujakaba ila tumezuia.

Mungu alikuwa upande wetu. Tushukuru kwa kufuza lakini hamna cha maana kwa Stars.

Tushuruku kwa Uganda kuwa katika kipindi kibaya.

Wacheza kama wameokotana
Tunasahau kuwa wapinzani wetu walikuwa wameshavuka! Tena kwa kuzifunga timu zote mpaka huko kwao, tukiwepo na sie Tanzania!
Tufurahie, lakini mioyoni mwetu tujue, jamaa WAMETUACHIA tu!
 
Taifa Stars itabakia kuwa kichwa cha mwendawazimu milele na milele. Labda Mzee Mwinyi aifute hiyo kauli yake kabla ya kuondoka hapa duniani.
 
Hata amunike aloshangiliwa hivi hivi mwanzoni.

Hata ndalagija alisifiwa hivihivi
 
Tunasahau kuwa wapinzani wetu walikuwa wameshavuka! Tena kwa kuzifunga timu zote mpaka huko kwao, tukiwepo na sie Tanzania!
Tufurahie, lakini mioyoni mwetu tujue, jamaa WAMETUACHIA tu!
Ulitazama mechi?
 
Tunasahau kuwa wapinzani wetu walikuwa wameshavuka! Tena kwa kuzifunga timu zote mpaka huko kwao, tukiwepo na sie Tanzania!
Tufurahie, lakini mioyoni mwetu tujue, jamaa WAMETUACHIA tu!
Hawajatuachia sisi, wamemuachia kocha wetu ambae ni mualgeria mwenzao
 
Nawapongeza Taifa Stars, japo lengo lilikuwa kufuzu na imekuwa ila huko mbele tusirudie hiki kitu mlichofanya jana.

Wale waarabu wapo vizuri sana, yaani ni vile tu waliamua kitupatia nafasi huku wao wakiwa hawana hasara.

Mpira wameucheza haswa mfano possession wao 80.5 na sisi 19.5 ni mbali sana ukiangalia, uchezaji wao wa pasi hadi kwenye 18 ungeweza kusema jamaa walituacha tu.

Upande wa pili refa alikuwa mshamba sana, mpira upo kwenye move na Rasta anaenda kufunga eti anamaliza mpira #^¢¶%$7%™ zake refa!!.
 
Team ipi ilikuwa inaenda kushinda refa akamaliza game? Kipindi cha pili sikucheki
 
Kuna Wachambuzi au Wachambaji?
 
Kibendera kilikuwa juu kuashiria ni offside
 
Wamepiga mashuti mangapi na mangapi yamelenga lango!?
 
Wale siyo wachambuzi .ni wachambaji
 
Kumbe kakolanya ni mchezaji wa Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…