Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Zanzibar sehemu gani? Kwenda kwa kubahatisha pia kuna kutapeliwa mara ya pili,na Malawi kijiji gani?Nenda Zanzibr, Unayapata mahindi yako yote, kule kuna watu bwana. au mwendee malawi hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar sehemu gani? Kwenda kwa kubahatisha pia kuna kutapeliwa mara ya pili,na Malawi kijiji gani?Nenda Zanzibr, Unayapata mahindi yako yote, kule kuna watu bwana. au mwendee malawi hapo.
Umenena vema,ndo maana ktk maswali yangu 3 hapo juu(japo hajajibu) nilitaka kufahamu uzoefu wa dogo ktk kusafiri,hii ingenionyesha ni kwa kiasi gani anaweza zikabili mishemisheDogo naamini hana makosa kwa kukosa uzoefu wa biashara..na inaonekana dogo wako mlaini kama mkate wa boflo...chamsingi karoge mahindi yarudi...
1.Mara nyingi nimekuwa nikisafiri nae hvy kuhusu uzoefu Sina mashaka nae.Twende taratibu,kumbuka naandika maelezo hapa na baadae yaweza kuwa ushahidi mahakamani!
1.Kwahiyo wakati unampatia mzigo ulishafahamu juu ya uwezo wake wa kusafiri sehemu za mbali na nyumbani?
2.Je,wakati unampatia mzigo ulisahau kumwambia wapi/stoo gani utahifadhiwa ama nani atampokea?
3.siku zote ukisafirisha wewe huwa unauza jumla au rejareja popote barabarani?
Nitaendelea ukishajibu haya!
Mami nauliza, mzigo wa nafaka kama huo hushushwa kwa mteja, ilikuwaje akashusha uwanjani?Twende taratibu,kumbuka naandika maelezo hapa na baadae yaweza kuwa ushahidi mahakamani!
1.Kwahiyo wakati unampatia mzigo ulishafahamu juu ya uwezo wake wa kusafiri sehemu za mbali na nyumbani?
2.Je,wakati unampatia mzigo ulisahau kumwambia wapi/stoo gani utahifadhiwa ama nani atampokea?
3.siku zote ukisafirisha wewe huwa unauza jumla au rejareja popote barabarani?
Nitaendelea ukishajibu haya!
Mkuu usichochee mgogoro huu kwa/na Mafuta ya Petrol,... [emoji23][emoji23]Yule demu aliyelala naye guest wakiwa wamelewa anajua mchezo wote. Dogo arudi tu home.