Stori ya kutunga hiyo, hata maudhui hayaendani na nia ya kupost(kutaka ushauri)! Kwanza huwezi kusafirisha mzigo mkubwa huo bila kujua anwani ya mteja,
2-mteja ndo angesema destination na kituo cha kupakulia ili iwe rahisi kupokea na kufanyia biashara zake!
3-Mara nyingi wasafiridhaji wanachukua advance tu(ya ku facilitate usafirishaji) na pesa kamili wanachukua baada ya kufikishwa, ambapo mnunuzi huwa anamlipa mletaji na mletaji anamalizana na msafirishaji!
4-Gunia 70 za mahindi ni mlima huo, ni uwanja wa nani utamwaga tu mxigo bila kukubaliana na mmiliki wa eneo!
Japo Yako mapungufu mengi ktk uwasilishaji ila safari ijayo jitahidi kidogo, ila pia maudhui ya stori kutokana na kichwa cha hbr ilikuwa kama unatoa onyo kwa wezi kabla kenda 'kuroga' lkn kumbe unataka ushauri juu ya huyo 'mdogo' wako wa kubuma! Kumbuka, uongo ukitaka ufanane na ukweli, basi weka kaualisia kidogo(kaukweli) ndiyo utapendeza! Pia, muongo mzuri ni yule mwenye kumbukumbu nzuri kuwa hapo awali alisema nini!😀 Pole kwa good idea bt bad approach!