Mlionidhihaki na Kudai Mimi ni Yanga SC pale nilipotoa Angalizo la Kiufundi kuihusu Simba SC naomba na leo endeleeni Kunidhihaki tena!

Hiki ndicho kilimfanya Nonda Shaban akimbie Tanzania. Akawaacha akina Lunyamila ambaye alimzidi kiwango aendelee kuhangaishana na malaya.
 
Duu! Mkuu umemwaga nondo
 
Kabisa.. Mtu wa mazoezi apotezi uwezo kwa usiku mmoja
Wabongo uelewa hatuna
Kwelk tupu sisi tumekalia majungu na wivu hatupendi kuona wachezaji wakitafuna vitu vikali sisi tumeshindwa kuvipata,baadala tutafute sababu ya msingi kwa nini viwango vinashuka siye tunaanzisha majungu
 
Naona kila Uzi uliohusu Simba unatafutwa popote ulipo....
 
Mimi naamini chambuzi kama hizi ndio zilizowafanya Simba wasilale na kutafuta suruhisho la changamoto zilizo mbele yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…