Mlionidhihaki nilipofumba kuwa leo Taifa Stars itafungwa na Uganda rudini tena mnidhihaki

Mlionidhihaki nilipofumba kuwa leo Taifa Stars itafungwa na Uganda rudini tena mnidhihaki

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Aah kweli ile ya siku ile waliingilia tu nyota yako
IMG-20230328-WA0102.jpg
 
Sasa zimbwe na kapombe walijumuishwa kikosini wanini? Tuache kuabudu usimba na uyanga kwenye timu ya taifa ni upuuzi
 
Unaniangusha...hivi ulikuwa siriaz kuwa hiyo ni mechi?
Wenzako walikuwa wanatania kuwa kuna mechi eti nawe ukaingia kuutazama😂😂😂😂😂
Mkuu,

Mimi ni camera man/photographer,nafanya live coverage uwanjani. Sikuwa na jinsi.

Ila tumetia aibu Mara mbili,kufungwa na kuzima taa zaidi ya dakika 20.
 
Back
Top Bottom