Mlionidhihaki nilipofumba kuwa leo Taifa Stars itafungwa na Uganda rudini tena mnidhihaki

Sasa zimbwe na kapombe walijumuishwa kikosini wanini? Tuache kuabudu usimba na uyanga kwenye timu ya taifa ni upuuzi
Mmeshaanza..... Taifa Stars ingeshinda ungeyatapika haya yote Mkuu?

Uyanga na Chuki vinakusumbua hivi kuna Wachezaji walioharibu leo kama Mudathir Yahaya na Simon Msuva? Mbona Hawa ( tena walioanza ) huwasemi?

Mnafiki mkubwa Wewe.
 
Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu"

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
wachezaji waliamini wameshinda,fei eti kaingia kuonesha mpira anaujua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Genta the Great
Hakuna Mwingine na hapa Watu kama Greatest Of All Time na OKW BOBAN SUNZU Wanaonichukia watambue kuwa Ushindi wangu wa Jukwaa la Michezo mwaka 2022 ulistahili na Zawadi yangu Nono niliyoichukua Jana Ofisi za JamiiForums ilikuwa ni Haki yangu.

Na nawaambia nitashinda mno tu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Mmeshaanza..... Taifa Stars ingeshinda ungeyatapika haya yote Mkuu?

Uyanga na Chuki vinakusumbua hivi kuna Wachezaji walioharibu leo kama Mudathir Yahaya na Simon Msuva? Mbona Hawa ( tena walioanza ) huwasemi?

Mnafiki mkubwa Wewe.
Niliyaandika humu asubui kuhusu waliojumuishwa kikosini, hata kama tungeshinda bado kauli yangu ni ile ile.

😅 tujifariji sina uyanga ila ni ujuha mwalimu aliita kikosi chake alafu baadae wanamuongezea wachezaji wao ni upuuzi.
 
😂😂😂😂
Unamjumuisha kapombe na Mohamed kwenye timu wa Nini unamuita mchezaji mwenye kiburi,msaliti tunahaki ya kufungwa
Timu ya mchongo mwalimu aliita kikosi kizuri ghafla wanajumuishwa wengine walioachwa si uchawi huo, ndio maana tumefungwa
 
Sasa zimbwe na kapombe walijumuishwa kikosini wanini? Tuache kuabudu usimba na uyanga kwenye timu ya taifa ni upuuzi
Kwani ndiyo waliyofungisha? Zimbwe keshatoka ndiyo goli linaingia, Kapombe naye mpira haukupitia sehemu yake makosa yameanzia kati kwa viungo, na mabeki wa kati kuzubaa hadi mtu kapitia kwao.

Muwe mnaangalia mpira na kama hamuuelewi muulize pia
 
Shida sio kufungisha, kila mchezaji ana impact yake uwanjani na ndicho kilichomfanya kocha akaacha kuwaita kwenye kikosi chake. Aliowaita aliamini watamfaa na kumpa matokeo, kulikoni kuja kumuongezea ambao hakuwaita awali?

Ukiniambia ni maamuzi ya kocha kuwaita bila kushawishiwa nitakataa, bado tunashindwa kuheshimu maamuzi ya tunaowaamini kufanya kazi kwenye soka letu ni upuuzi kupangiana.
 
Sasa impact yao Ni ipi kweli lile goli?
 
Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu"

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Hongera sana lakini jaribu kuwa humble na gentle kidogo.itakuongezea credit
 
Back
Top Bottom