Mlionidhihaki nilipofumba kuwa leo Taifa Stars itafungwa na Uganda rudini tena mnidhihaki

Sasa zimbwe na kapombe walijumuishwa kikosini wanini? Tuache kuabudu usimba na uyanga kwenye timu ya taifa ni upuuzi
 
Hapa nipo uwanjani,nangoja watu wapungue nisepe maana hata hamu ya kuinua miguu Sina.

Tanzania tunatia aibu asee!!
Unaniangusha...hivi ulikuwa siriaz kuwa hiyo ni mechi?
Wenzako walikuwa wanatania kuwa kuna mechi eti nawe ukaingia kuutazamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaniangusha...hivi ulikuwa siriaz kuwa hiyo ni mechi?
Wenzako walikuwa wanatania kuwa kuna mechi eti nawe ukaingia kuutazamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu,

Mimi ni camera man/photographer,nafanya live coverage uwanjani. Sikuwa na jinsi.

Ila tumetia aibu Mara mbili,kufungwa na kuzima taa zaidi ya dakika 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…