Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Habari ya Simbarambende!
karibu sana nyumban Jf uwe na aman ndugu
ahsante sana ndugu tutakuja tu tupate upako toka kwakoAsante sn nimekuja na ngv mpya , karibun na huku Kilombero
mimi hata nilikua sikujui
Naomba thukari😀No nzuri sana, nymvis, kambin k2 , manyasin. Karibu sn
Kwani ulienda wapi........?......halafu jina lako linatamkwaje......?.....Mimi nimejikuta nimetamka 'IYOBO'......cc Zamiluni Zamiluni.....
Hujajibu swali, Umeoa? Tatizo lako wewe unachagua swali la kujibu. Au umemrudisha yul,e wa zamani