Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli bora amerudi mtumishi atuongoze toba upya maana si kwa anguko hili.Toka umeondoka maovu yameongezeka humu ndani kwa kweli, bora uanze kukemea.
Kwakweli bora amerudi mtumishi atuongoze toba upya maana si kwa anguko hili.
Mtumishi njoo ujitetee huku. ..inasemekana maombi yako mengi ni kwa wadada tu wanaume umewatenga sana.Sema mtumishi maombi yake mengi ni kwa wadada, sijui kwa nini anatutenga wanaume.
Bia zitakuwepo?Bado jaman harus ni mwezi wa9 ndan ya ukumbi was chuo cha sukari, KARIBUNI sana ,
Naomba thukari😀
Ulipoondoka uliaga?
Ungerudi kimya kimya kama ulivyoondoka Pastor
Mtumishi njoo ujitetee huku. ..inasemekana maombi yako mengi ni kwa wadada tu wanaume umewatenga sana.
Hivi kumbe hajaoa bado!Hahahah pastor vipi ushampata mchumba? Na harusi bado ni 20/8?
bado mpendwa, sijui hata kama wifi amepatikanaHivi kumbe hajaoa bado!
Hivi huyu sio yule alianzisha kanisa fake wakala njama na binti?bado mpendwa, sijui hata kama wifi amepatikana
cc NifahBwana Yesu asifiwe!!!
Jaman ni mm mchungaj wenu illovo nimerudi tens nilikua natafuta UPAKO. VP jaman habr za cku?? Polen kwa majukumu,??
Kama kawaida nipo kwa ajili ya
-kushauri
-kufundisha
-kuonya
-na kukemea
Mungu awabariki
Hahaha sikusikia hiyo story mweeHivi huyu sio yule alianzisha kanisa fake wakala njama na binti?