Mlionimiss sasa nimerudi Tusalimiane

Mlionimiss sasa nimerudi Tusalimiane

Ulipoondoka uliaga?

Ungerudi kimya kimya kama ulivyoondoka Pastor
 
Nimekuja na material mapya. Ukihtj n pm au hewani kwa 0786100772 au 0757856336. Mnajua muda wrote ckuwa na cm
 
Bwana Yesu asifiwe!!!

Jaman ni mm mchungaj wenu illovo nimerudi tens nilikua natafuta UPAKO. VP jaman habr za cku?? Polen kwa majukumu,??

Kama kawaida nipo kwa ajili ya
-kushauri
-kufundisha
-kuonya
-na kukemea
Mungu awabariki
cc Nifah
 
Back
Top Bottom