BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Popoma ni mtu wa kipekee sana.
Popoma ni mtu wa kipekee sana.
Nimemiss vituko vyake kupitia hii ID,naona siku hizi anajitahidi sana kubadili mwandiko.
Pole kwa safari ndefu na kupotea. Et Naskia mnachukuliaga upako Nigeria
Mlango/Msatari wa ngapi huo kwenye bible unasema hivo mtumishiUpako haupo Nigeria wala wapi, Upako no kutii na kufanya mile Mungu alichosema. Maandiko yasema; Mungu hayupo mbali, Bali yupo karibu kuliko hata nguo uliyovaaa
Mwenyewe ninamashaka na hapo aliposema 'kuliko nguo uliyovaa'Mlango/Msatari wa ngapi huo kwenye bible unasema hivo mtumishi
Anataka kutulisha matango pori hapa"Mwenyewe ninamashaka na hapo aliposema 'kuliko nguo uliyovaa'