Usikatishwe tamaa piga kazi!Shukran Member.
Kweli majibu ya Yesu ha!ha!Kwenye TASNIA NZIMA YA HABARI au MAWASILIANO Hakuna Proper Justification Of Fools Day Against Clarity Of News Flow. Jipange Halafu Urudi Tena NIKUELIMISHE Zaidi!
Kiongozi jee hii ya kipanya na fina nao wamerudi?,nimesikiliza PB leo sijawasikiaShukran Member.
Malaika wa mbinguni wanapingana na jitu lenye matusi,Sijulikani Tu Na Clouds Media Group Bali Hata MALAIKA WOTE WA MBINGUNI Wananijua Na WANANIPENDA. Ungesoma Vizuri UZI Wangu Na KUUELEWA Nini Kiini Cha KUUANDIKA Usingekuja Na Hili Bandiko Lako. You're Absolutely Pathetic Dull.
Naomba na mimi unipe pole maana nimeona hiyo wanja sijui lipstick khaaajamani pole
Ha ha ha! Eti Tatizo Nyota??π Basi wasamebe 7x7x70: Na nina hakika kuanzia leo watakuwa na mtazamo tofauti juu yako; wameshajua kuwa wewe sio mwenzao. Wacha niishie hapa maana kuna mtu nitamkwaza nikikusifia sanaπAchana Nao Hao Mkuu NIMESHAWAZOEA Na Najua Kuwa TATIZO NI NYOTA.
Popoma wa SAUT una shidaa.
Kiongozi jee hii ya kipanya na fina nao wamerudi?,nimesikiliza PB leo sijawasikia
Malaika wa mbinguni wanapingana na jitu lenye matusi,
Ha ha ha! Eti Tatizo Nyota??π Basi wasamebe 7x7x70: Na nina hakika kuanzia leo watakuwa na mtazamo tofauti juu yako; wameshajua kuwa wewe sio mwenzao. Wacha niishie hapa maana kuna mtu nitamkwaza nikikusifia sanaπ
Povu jingii kama mgonjwa wa kifafa, kwani kurudi kwake sisi tunafaidika na nini.
Yani jirani ashibe ujambe wewe?
Jamani na wewe basi soma btwn the lines, hapo mwenzako ndio nishakusifia hivyo!! Tatizo sio aibu, kuna babu humu nitamuumiza roho nikikusifia kwa uwazi. Umenisoma?πAkhsante Mkuu ILA Hata Wewe Ukiona Aibu Kunisifia Naamini MALAIKA Wa Mbinguni Watanisifia Tu Daima. Leo Kuna Watu WAMEUMBUKA KUNAKOTUKUKA.
Vipi, umeshaacha kutembea na mafuta ya mgando kwenye mfuko wa shati@Gentamycine? .Tarehe Moja Nilipoandika UZI Humu TENA Nikijiamini Kabisa Kama Kawaida Yangu Wapo Walionijibu Kwa KUNITUSI, KUNIKEBEHI Na Hadi KUNIDHALILISHA Na Bahati Nzuri Sana Hata Posts Zao Zipo Katika Ule UZI Kuwa Gadner G. Habash Anarudi Rasmi Clouds Media Group Nikimaanisha Kuwa Mtangazaji Wa Clouds FM.
Leo TAARIFA Yangu Ile IMETHIBITISHWA Tena Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Tayari Gadner Ameshaingia KANDARASI Nao.
Sitaki Kusema Mengi Na Siwalazimishi KUNIOMBA RADHI Ila Kwa Yoyote Yule ALIYENIDHIHAKI Juu Ya TAARIFA Yangu Ile JISIKIE AIBU NA NIOMBE RADHI La Sivyo Ninamuachia MAULANA!
Otherwise Hongera Sana Clouds Media Group Kwa Kumrudisha Huyo JEMBE Na Hakika MTATISHA Sana Kama Siyo Mno. Na Kwa Wale Mnaoendelea KUNICHUKIA au KUNIDHIHAKI au KUNIONEA WIVU Juu Ya Taarifa Zangu NAWAOMBENI SANA MSIACHE KUNIDHIHIKANI au KUNIDHARAU Kwani Nyie Ndiyo Mnanifanya Niwa Prove Kuwa NIMEWAZIDI VITU VINGI Na Kwamba NIMEBARIKIWA Na Ningewasihi Tu Kuliko KUNICHUKIA Badala Yake Tu Mngekuwa Mnajifunza Vitu Kutoka Kwangu Ambavyo HAMNA Na Pengine HAMTAKUWA Navyo Hadi MAUTI Uwakuteni.
Leo Mwenyezi Mungu AMEWAUMBUA WANAFIKI Na WAZANDIKI Wangu Wote! Akhsante Mungu.
Binafsi Nimekuelewa sana. Keep it upHata Mamako Bila Kuwa Mbea Asingekuzaa! Nimenufaika Kuwaleteeni HABARI Motomoto Na Ya Mapema Sana. Hayo Maelezo Yangu Mengi Na Yenye UFAFANUZI Wa KIMANTIKI Ndiyo Yanayonifanya Niwe Tofauti Nawe Hasa Katika Credibility. Bahati Mbaya Sana au Nzuri Mno Huwa Nina Majibu Kama Ya Yesu Kristo Ambapo Humjibu Mtu Kulingana Na UNAFIKI au UTIIFU Wake.