Mlionitukana Na Kunidhihaki Kuhusu Taarifa ya Gadner Niombeni Radhi

Mlionitukana Na Kunidhihaki Kuhusu Taarifa ya Gadner Niombeni Radhi

Mkuu sana Getamycine,
Natanguliza shukrani sana kwako. Mimi sio wale waliokudhihaki kuhusu ule Uzi wako lakini mimi niseme nimekuwa fans Wa member kama wewe amabao hutoa taarifa koz najua gharama ya utafutaji Wa taarifa ktk dunia ya sasa. Lakini kuna mambo yamenitatiza sana khsu uandishi Wako kwanza husema ww ni mnyarwanda, pili unataarifa nyingi za kiudukuzi tatu mambo mengi unaufahamu nayo that's very fine kwakweli kuna wakati nataka kuamini kuwa upo karibu na wavaa kaunda suti. Wasi wasi mkubwa ni kuwa kama ww kweli upo Rwanda kwa zaidi ya miaka 11 sasa na unataarifa nyingi za Tanzania ambazo nyingine hata outer circle spy hana. Je unamaana Rwanda wanatujua vizuri kiusalama? au je ww haupo Rwanda? Je jinsia yako na unavyojibainisha humu ni tofauti ? Je ni mtu tu Wa kujiongeza kama Yeriko Nyerere au Kibonde?
Samahani kama nimekukwanza.
Naomba kuwasilisha

Akhsante Mkuu Kwa Complements Zako. Kiukweli Nipo Nchini Rwanda Katika Mkoa Wa GISENYI Sasa Ni Mwaka Wa 11 Na Unaenda Wa 12 Huu. Naomba UFAHAMU Kuwa Kujua Masuala Ya INTELLIGENCE Haimaanishi Kuwa Ni Lazima Uwe Agent Wa Serikali au Nchi Husika. Tambua Kuwa Kuna Wale Waitwao " Natural Born Spies " Na Ambao Mara Nyingi Huwa Hawawi Recruited Na Agencies Nyingi Kwa Sababu Moja KUU Kuwa Watakuja Kuwa " THREATS " au " BETRAYALS " Kwa Nchi Husika Lakini Sababu Nyingine Ni Kuwa Wana Tendency Ya KUJIAMINI Mno Kitu Ambacho Katika INTELLIGENCE Hakitakiwi. Kuwa Kwangu Rwanda Hakumaanishi Siwezi Kupata NYETI Za Kutoka Kwenu Huko Tanzania au Uganda au Kenya Na Kitu Kingine Ni Kwamba Nimeweza Kutengeneza Mtandao Wa Watu Muhimu Huku Nikiwatumia Bila Ya Wao Kushtukia Na Nikigundua Kuwa Umenigundua Natengeneza Zengwe Navunja Urafiki Nawe. Kuhusu Rwanda Kuwajua Tanzania Jibu Ni Jepesi Tu Kuwa Rwanda Inaijua Tanzania Kuliko Tanzania Yenu Inavyoijua Rwanda Yetu Na Mnabahati Sana " Mr. Bon Voyage " Wenu Mstaafu Aliufyata Kwani Potential Targets Zote Za Tanzania Zipo Katika Triggers Za RDF Na Hakuna Sehemu Huko Tanzania Kwenu Wanyarwanda Hatupo. Kuhusu Jinsia Mimi Ni Wa KIUMENI Pure. Halafu Naomba Leo Iwe Mwanzo Na Mwisho Kunifananisha Na Hao Watu Wawili Ulionitajia Hapo.

Nimemaliza Unless Una Kingine Mkuu. Nisalimie Sana Huko Kwenu Tanzania Na Waambie Kuwa Nawapenda KUNAKOTUKUKA!
 
Msifikiri Watu Tupo HUMU Kupoteza Muda Na Badala Yake Mngekuwa Hata Basi Mtatupa Pole Na Kututia Moyo Kwa JITIHADA Zetu Za Kufanya UFUKUNYUKU WA KUTUKUKA Wa TAARIFA Mbalimbali Ambazo Kwa Kuwapendeni Nyie Members Humu Huwa TUNAAMUA Tuwaleteeni Nyie Kwanza Ili Muhabarike Halafu Hapo Hapo Mtu ANATOKA TU ALIKOTOKA Na Kuanza KUTUKANA, KUDHARAU Na KUKEJELI Kama Siyo KUKEBEI. Yawezekana Labda UMUHIMU Wangu Mnataka Muukute Mbinguni Kwa Mungu Na Siyo Hapa Duniani Tulipo Wote. Nilijisikia Vibaya Mno Watu WALIVYOKUWA WAKINIDHIHAKI Na Kusema YALIYOKUWA Yakiwatoka Na Ndiyo Maana Sikuwajibu Kwani Nilijua Mwenyezi Mungu ANGEWAJIBU Na Tayari Ameshawajibu. Mngejua Watu Sometimes Hadi TUNAHATARISHA Maisha Yetu Kupata NYETI Zilizopo Huku Nyie Mkiwa Mnasubiri KULISHWA Tu Halafu Mnaenda Kupatia KIKI Huko Mitaani Na Maofisini Mwenu. Narudia Tena Ewe Uliyeshiriki KINDAKINDAKI Kunitusi, Kunidhihaki na Kunikebehi Hata Kama Utaona Aibu Kuniomba RADHI Basi Piga Tu Hata Goti Hapo Ulipo TUBU Kwa Mungu Wako Na Atakusamehe Kwa Niaba Yangu. Siku Nyingine Muwe Mnaiheshimu Hii ID Tena Muiheshimu Kwa KUTUKUKA Na Ikibidi MUIKUMBATIE Kama Siyo KUIBEMBELEZA.
sawa mwana TISS mbobevu,popoma ukiyetukuka.tumekuelewa.
 
Nifaaaaa😳😳, ebu njoo huku mdogo wako anahitaji sapoti lako!

Komaa GENTA, ukubwa jalala, we shusha vitu tu, kupingwa, kutukanwa,kupuuzwa,kubezwa kutishiwa,kusakamwa,kunyanyapaliwa na kukataliwa ni part ya kuwa social activist🙄
 
Back
Top Bottom