Mlionitukana Na Kunidhihaki Kuhusu Taarifa ya Gadner Niombeni Radhi


Akhsante Mkuu Kwa Complements Zako. Kiukweli Nipo Nchini Rwanda Katika Mkoa Wa GISENYI Sasa Ni Mwaka Wa 11 Na Unaenda Wa 12 Huu. Naomba UFAHAMU Kuwa Kujua Masuala Ya INTELLIGENCE Haimaanishi Kuwa Ni Lazima Uwe Agent Wa Serikali au Nchi Husika. Tambua Kuwa Kuna Wale Waitwao " Natural Born Spies " Na Ambao Mara Nyingi Huwa Hawawi Recruited Na Agencies Nyingi Kwa Sababu Moja KUU Kuwa Watakuja Kuwa " THREATS " au " BETRAYALS " Kwa Nchi Husika Lakini Sababu Nyingine Ni Kuwa Wana Tendency Ya KUJIAMINI Mno Kitu Ambacho Katika INTELLIGENCE Hakitakiwi. Kuwa Kwangu Rwanda Hakumaanishi Siwezi Kupata NYETI Za Kutoka Kwenu Huko Tanzania au Uganda au Kenya Na Kitu Kingine Ni Kwamba Nimeweza Kutengeneza Mtandao Wa Watu Muhimu Huku Nikiwatumia Bila Ya Wao Kushtukia Na Nikigundua Kuwa Umenigundua Natengeneza Zengwe Navunja Urafiki Nawe. Kuhusu Rwanda Kuwajua Tanzania Jibu Ni Jepesi Tu Kuwa Rwanda Inaijua Tanzania Kuliko Tanzania Yenu Inavyoijua Rwanda Yetu Na Mnabahati Sana " Mr. Bon Voyage " Wenu Mstaafu Aliufyata Kwani Potential Targets Zote Za Tanzania Zipo Katika Triggers Za RDF Na Hakuna Sehemu Huko Tanzania Kwenu Wanyarwanda Hatupo. Kuhusu Jinsia Mimi Ni Wa KIUMENI Pure. Halafu Naomba Leo Iwe Mwanzo Na Mwisho Kunifananisha Na Hao Watu Wawili Ulionitajia Hapo.

Nimemaliza Unless Una Kingine Mkuu. Nisalimie Sana Huko Kwenu Tanzania Na Waambie Kuwa Nawapenda KUNAKOTUKUKA!
 
sawa mwana TISS mbobevu,popoma ukiyetukuka.tumekuelewa.
 
Nifaaaaa😳😳, ebu njoo huku mdogo wako anahitaji sapoti lako!

Komaa GENTA, ukubwa jalala, we shusha vitu tu, kupingwa, kutukanwa,kupuuzwa,kubezwa kutishiwa,kusakamwa,kunyanyapaliwa na kukataliwa ni part ya kuwa social activist🙄
 
Pole sana kuywa kinywaji kimoja
Burudani wine [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji125] [emoji125]

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…