Kweli ni ndoto yako na mungu akubariki,upate unacho hitajii,binafsi napenda nipate eneo njee ya mji heka kama mbili nijengee nyumba katikati ta heka mbili au karibu na mwisho wa heka hizo mbili,iwee flo mojaa,with swiming pool,basketball court,garden kubwaa yenye mauwaa ya kila aina nq fishing pound,,then humo humo humo kuna kuwa mradi wa ngombee wa maziwa,kuku wa manyai wa kienyeji,miti ya matunda,fens imezunguka eneo langu lote...ukishika barabara ujue unakuja kwangu hakunaa pakwenda.hiyo ndo ndoto yangu