Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana zipo bidhaa nazozitaka ila siwezi kulipa keshi.
Je kuna wadau humu ambao mmefanikiwa kununua bidhaa kupitia mpesa app na vipi huduma zao na bidhaa kwa ujumla hali ikoje?
Nimeona siwezi kufanya uamuzi wowote bila kuwasiliana na nyie humu maana nikisema niwaulize Vodacom bado siyo njia nzuri kwani wao siyo wanunuzi bali ni partner wa hiyo biashara.
Naombeni msaada kwa mtu yeyote mzoefu ili nisiingizwe chaka,nitafurahi endapo nitapata muongozo sahihi kutoka kwenu.🙏