Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

mkuu hebu nipe taarifa zaidi maana natafute mke pengine nitaenda huko yaani are you joking or what? you mean their you know what when doing you know what releases huge amount of that liquid??? mkuu nielimise pls, natanguliza shukrani
Waliopanda mabasi ya njano kama mpo humu msaada tafadhali lugha imenipita pembeni
 
[emoji117]Kwanza lazima uwe na vitanda viwili kimoja cha game kingine cha kulalalia maana wana mwaga maji kama kama mto malagarasi

[emoji117]Pili kwao mwanamke anasikilizwa sana hafokewi wala kupigwa mara nying huwa wanajisahau na kutaka hii tabia ku apply nje ya kwao

[emoji117]Tatu wanaamini katika kukuza kizazi chao pure so hata kama akizaa na mtu sio mnyarwanda lazima atazaa na mnyarwanda mwenzie hata mtoto mmoja

[emoji117] Nne wazuri wanapenda bata na wanatupenda sana wa TZ yaani mtz ukienda Rwanda utongozi mara mbili
Umekaa rwanda miaka mingapi?
 
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!

Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.

Eehh

KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!

View attachment 1830798
Kawaulize Wafipa...
 
[emoji117]Kwanza lazima uwe na vitanda viwili kimoja cha game kingine cha kulalalia maana wana mwaga maji kama kama mto malagarasi

[emoji117]Pili kwao mwanamke anasikilizwa sana hafokewi wala kupigwa mara nying huwa wanajisahau na kutaka hii tabia ku apply nje ya kwao

[emoji117]Tatu wanaamini katika kukuza kizazi chao pure so hata kama akizaa na mtu sio mnyarwanda lazima atazaa na mnyarwanda mwenzie hata mtoto mmoja

[emoji117] Nne wazuri wanapenda bata na wanatupenda sana wa TZ yaani mtz ukienda Rwanda utongozi mara mbili
Yatatu ungesema wao ni makahaba.
 
Back
Top Bottom