Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Kweli, atafute hela kwa ajili yake au labda na.huyo mtoto ambaye kwa maelezo yake amesema kapigwa japo karandisha.

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke narudia...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke, narudia tena...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke kwani hawaridhiki hawa viumbe

Ukishapata fedha na kumpa kila kitu anachopata anaanza na matamanio yake binafsi ambayo hayawezi kutatuliwa na fedha...

Jichanganye sasa uone...

Mm kuna mshangazi naupiga na mumewe ana kila kitu halafu me kiuchumi naunga tu, ukimuuliza anakwambia kuna vitu mumewe hana
Kurandisha ni nini?
 
Ulimkuta na hali gani.
Mazingira ni pori sana hakuna huduma kama zahanati nk, mvua ikinyesha noma sana, shimo ni mchana lakini ukichungulia huoni kitu unaambiwa Kuna watu ndani, ndevu zilikua zimeita kawakama mihogo mchungu ilihali ni mtu wa kunyoa nakukaa smati, maji ya kunywa hayaeleweki, usafi zero, mtu anjisaidia haja kubwa popote.


Mpaka nikajiuliza hela hawa wanapelekaga wapi, in short wanao furahia maisha ya uchimbaji ni madon, hawa wachimbaji wa kawaida shida tupu, labda mifodi mikunwa kama GGM, ndio una relax
 
Mistari miwili ya mwisho, kwamba mkaachana?
kabisa.....but nimesonga na niko mbali sana, yalishapita.....alizalia watoto, na weshakuwa vijeba, tunapishana kunyoa ndevu now.... namheshimu kwa hilo tuu....wanawake ni vichomi.......sio wote.....
 
Mazingira ni pori sana hakuna huduma kama zahanati nk, mvua ikinyesha noma sana, shimo ni mchana lakini ukichungulia huoni kitu unaambiwa Kuna watu ndani, ndevu zilikua zimeita kawakama mihogo mchungu ilihali ni mtu wa kunyoa nakukaa smati, maji ya kunywa hayaeleweki, usafi zero, mtu anjisaidia haja kubwa popote.


Mpaka nikajiuliza hela hawa wanapelekaga wapi, in short wanao furahia maisha ya uchimbaji ni madon, hawa wachimbaji wa kawaida shida tupu, labda mifodi mikunwa kama GGM, ndio una relax
Aondoke huko, ataangukiwa na kifusi. Sasa huoni watu walio ndani, je wakitqka kutoka wanatokaje?
 
Wapi huko mnalipwa laki mbili yote hiyo ili wengine wahamie, wengine wanajitolea, wanaamua wakulipe sometimes hawakulipi, na una digrii nzuri tu.
Duh kuna jamaa yangu ana bachela ya ualimu Wa kemia analipwa laki na nusu private mbeya
 
Utamu wa ndoa ni usiku tu,,ila ikifika asubuhi unabaki na mawazo ,, utatamani ungezaliwa wakati wa Noah uchukuliwe na gharika..

Maisha magumu sn mkuu..
  • mama na baba mkwe wanakutegemea wewe .
  • kodi ya meza asubuhi.nk
 
Hahahaha upo kama mimi tajiri...mimi nipo late 20s nasogea sogea daraja la tatu.

Mishahara ya kimagumashi....mshahara wa jero haunitoshi..

Niliwahi kufanya mishe za hadi kulipwa 150k na wenzangu ila wao walioa hivyohivyo.

Kitu nachoweza kuthibitisha ni kuwa : maisha yao ni magumu tena magumu sana.

Hakuna kuoa bila stable finance.yaani mpk kieleweke.
 
Unamaanisha huo mshahara ni mdogo? Au mm ndo sjaelewa? Ni Watanzania wangapi wanavuka hcho kiasi?
Kipato kidogo, unaoaje kwa mshahara wa laki tano? Tafuta njia nyingine ya kuongeza kipato nje ya mshahara unipate, ndo uoe.
 
Kipato kidogo, unaoaje kwa mshahara wa laki tano? Tafuta njia nyingine ya kuongeza kipato nje ya mshahara unipate, ndo uoe.
How much income per month is enough for someone to marry?
 
Back
Top Bottom