Kurandisha ni nini?Kweli, atafute hela kwa ajili yake au labda na.huyo mtoto ambaye kwa maelezo yake amesema kapigwa japo karandisha.
Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke narudia...
Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke, narudia tena...
Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke kwani hawaridhiki hawa viumbe
Ukishapata fedha na kumpa kila kitu anachopata anaanza na matamanio yake binafsi ambayo hayawezi kutatuliwa na fedha...
Jichanganye sasa uone...
Mm kuna mshangazi naupiga na mumewe ana kila kitu halafu me kiuchumi naunga tu, ukimuuliza anakwambia kuna vitu mumewe hana
Nilikuwa namkaza mpaka anainyonya,sema nilikuwa namwaga nje akiwa siku za hatari ,ili nisubiri nikimuoa ndio azae mwingineSasa kwani ulikuwa humkazi kabisa? Kama ulikuwa humkazi lazima aseme huna nguvu za kiume.
Ulimkuta na hali gani.Baba ni mtu wa hizo mishe Kuna kipindi alikaa sana huko nikaenda kumtafuta asee Hali ya huko ni balaa nilitaka kulia
Ni noma mtu anajitolea miaka 3-4 , anaoaje kulipwa tu hizo posh ni kazi.Wapi huko mnalipwa laki mbili yote hiyo ili wengine wahamie, wengine wanajitolea, wanaamua wakulipe sometimes hawakulipi, na una digrii nzuri tu.
Mazingira ni pori sana hakuna huduma kama zahanati nk, mvua ikinyesha noma sana, shimo ni mchana lakini ukichungulia huoni kitu unaambiwa Kuna watu ndani, ndevu zilikua zimeita kawakama mihogo mchungu ilihali ni mtu wa kunyoa nakukaa smati, maji ya kunywa hayaeleweki, usafi zero, mtu anjisaidia haja kubwa popote.Ulimkuta na hali gani.
Mpaka ukimwi uingie ndaniMwanaume unayenyimwa pusy na mke wake sababu ya uchumi anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuzipiga hizo pusy bila shida kwa kuwa mke wake mwenyewe ndio kampa go ahead.
kabisa.....but nimesonga na niko mbali sana, yalishapita.....alizalia watoto, na weshakuwa vijeba, tunapishana kunyoa ndevu now.... namheshimu kwa hilo tuu....wanawake ni vichomi.......sio wote.....Mistari miwili ya mwisho, kwamba mkaachana?
Sasa mbona anasema huns nguvu?Nilikuwa namkaza mpaka anainyonya,sema nilikuwa namwaga nje akiwa siku za hatari ,ili nisubiri nikimuoa ndio azae mwingine
Aondoke huko, ataangukiwa na kifusi. Sasa huoni watu walio ndani, je wakitqka kutoka wanatokaje?Mazingira ni pori sana hakuna huduma kama zahanati nk, mvua ikinyesha noma sana, shimo ni mchana lakini ukichungulia huoni kitu unaambiwa Kuna watu ndani, ndevu zilikua zimeita kawakama mihogo mchungu ilihali ni mtu wa kunyoa nakukaa smati, maji ya kunywa hayaeleweki, usafi zero, mtu anjisaidia haja kubwa popote.
Mpaka nikajiuliza hela hawa wanapelekaga wapi, in short wanao furahia maisha ya uchimbaji ni madon, hawa wachimbaji wa kawaida shida tupu, labda mifodi mikunwa kama GGM, ndio una relax
Wanatoka sana tu kwa shiftAondoke huko, ataangukiwa na kifusi. Sasa huoni watu walio ndani, je wakitqka kutoka wanatokaje?
Unamaanisha huo mshahara ni mdogo? Au mm ndo sjaelewa? Ni Watanzania wangapi wanavuka hcho kiasi?Au ulikuwa una chanzo kingine cha mapato? Maana kuoa ukiwa na 550K nacho ni kipaji.
Sio Kwa Pato la 250K au 300KBachelor anatumia gharama kubwa za maisha kuliko mwenye mke na watoto!
Utajikuta unakula junk food kwa pesa kibao kuliko ungepikiwa!
Duh kuna jamaa yangu ana bachela ya ualimu Wa kemia analipwa laki na nusu private mbeyaWapi huko mnalipwa laki mbili yote hiyo ili wengine wahamie, wengine wanajitolea, wanaamua wakulipe sometimes hawakulipi, na una digrii nzuri tu.
Anamaanisha siwezi kuzalishaSasa mbona anasema huns nguvu?
Duh aisee na hapo unakuta hm wanakutegemea..Duh kuna jamaa yangu ana bachela ya ualimu Wa kemia analipwa laki na nusu private mbeya
Kipato kidogo, unaoaje kwa mshahara wa laki tano? Tafuta njia nyingine ya kuongeza kipato nje ya mshahara unipate, ndo uoe.Unamaanisha huo mshahara ni mdogo? Au mm ndo sjaelewa? Ni Watanzania wangapi wanavuka hcho kiasi?
How much income per month is enough for someone to marry?Kipato kidogo, unaoaje kwa mshahara wa laki tano? Tafuta njia nyingine ya kuongeza kipato nje ya mshahara unipate, ndo uoe.