Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Kama hujajipata kimaisha kuna mtihani mkubwa kuoa, ni wanawake wachache wanaweza kukuvumilia hadi ujipate.
 
Mkuu kula maisha kwanza; usiwaze kukimbilia matatizo. Umri wa miaka 30 bado ni mdogo sana kukimbilia ndoa. Ukitaka uishi maisha marefu, fikiria kuoa utakapofika miaka 40+ . Fuata huu ushauri wangu, utakuja kunishukuru baadaye.
 
Hapana ,sijasema.

Haika Lawere na Magesa Phares walioana wakiwa wanafunzi.
Lakini Haika umri ulikuwa umesogea kidogo, maana alisoma chuo cha kwanza akadisco akiwa mwaka wa pili ndo akaenda kuanza chuo kingine ambapo ndo alipoolewa. Kwa ule muda ilikuwa sawa tu na mtu ambaye ashamaliza chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…