RSM Dominik
JF-Expert Member
- Apr 3, 2026
- 207
- 561
- Thread starter
-
- #161
Duh ko niwe nazalisha tuu nje sioMkuu kula maisha kwanza; usiwaze kukimbilia matatizo. Umri wa miaka 30 bado ni mdogo sana kukimbilia ndoa. Ukitaka uishi maisha marefu, fikiria kuoa utakapofika miaka 40+ . Fuata huu ushauri wangu, utakuja kunishukuru baadaye.
Si ndioNdo apewe mbwa kweli
Hiyo itakuwa ngumu aisee!Wachana na pombe sasa 🤠
Kweli, atafute hela kwa ajili yake au labda na.huyo mtoto ambaye kwa maelezo yake amesema kapigwa japo karandisha.Usifosi we tafuta hela na uinjoi hela zako...... wanawake wote ni mbwa 😹
Mwanaume unayenyimwa pusy na mke wake sababu ya uchumi anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuzipiga hizo pusy bila shida kwa kuwa mke wake mwenyewe ndio kampa go ahead.🤓 ndoa zinasumbua hata wenye nazo sasa wewe kapuku si unyumba utausikia redioni mkuu
Unapigwq mkuu stukaMadini tupu hii naitumia sana mke wangu ananipenda hatari. Yaani kwenye haya maisha si mbaya mke wako akajua mshahara wako
Sawa mkuuMkoa uliopo ndo utakupa akili ya kutafuta zaidi, ukiwa baba wa familia jambo la kwanza ni kuhakikisha walioko chini yako wanaishi under your wings ,usiogope kuwa na mke kama unayemuoa ni mtu sahihi asiye na tamaa za material things.
Nina jamaa yangu yuko nje ya nchi ananiulizaga kila siku ninawezaje kupambana na maisha kwa kipato cha tz wakati yeye anakunja karibu euro 4000 na bado anaogopa kuoa
wanawake washenz sn mkuuKweli, atafute hela kwa ajili yake au labda na.huyo mtoto ambaye kwa maelezo yake amesema kapigwa japo karandisha.
Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke narudia...
Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke, narudia tena...
Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke kwani hawaridhiki hawa viumbe
Ukishapata fedha na kumpa kila kitu anachopata anaanza na matamanio yake binafsi ambayo hayawezi kutatuliwa na fedha...
Jichanganye sasa uone...
Mm kuna mshangazi naupiga na mumewe ana kila kitu halafu me kiuchumi naunga tu, ukimuuliza anakwambia kuna vitu mumewe hana
Kuna maboya yatabisha tu hapa lkn ukweli ndio huo, hata uwe na hela kiasi gani huwezi kumtuliza kiumbe mwanamke.wanawake washenz sn mkuu
mtunuku basi tuppate somo kwenu....kama ni kweli hilo semo lina mantikiMke ni baraka atakuja na kipato......😁
(Team kweka wanasonya kisha wananambia kmmk)
Nimtunuku ninimtunuku basi tuppate somo kwenu....kama ni kweli hilo semo lina mantiki
Yes. Kama itabidi zalisha tu lakini usioe mapema. Utakuja kunishukuru baadaye.Duh ko niwe nazalisha tuu nje sio
🤣 dah tupate pesa tuVile mkeo anakuona ukiwa hauna hela.....
View attachment 3692044
Si akuoe kwa sababu kila mtu na ridhiki yake ili mkitoboa tujifunze kwenuNimtunuku nini
Ndo nawaza hapa ngoja nizame porini walau one year kwa kujibana maana mida ya lala salama hii, huu sio umri wa kulipwa laki mbili kwa mwez si ntaua familia hapo later
Au ulikuwa una chanzo kingine cha mapato? Maana kuoa ukiwa na 550K nacho ni kipaji.Mm Nilianza kuishi na mwanamke nikiwa 28yrs tukazaa mtt mmoja wakat huo nalipwa 450k nilipo panda kijicheo nkawa nalipwa 550k nkafunga ndoa nikiwa 30yrs baada tu ya kufunga ndoa mambo yalininyookea asee daah sahv am 33yrs nna watoto wawili nipo kwenye ajira ya Kudumu inshallah life is Good....ushaur wangu Usioe kutokana na pressure ya Jamii au Tamaa Pambana unavojua Ww angalau kuwa na uwakika wa kipato kizuri Ndoa ni majukumu...ila nnachoamini kama una Nia ya dhati ya kutaka kuoa ili utulie na Familia yako muombe Mungu na ongeza juhudi za Kutafuta rizik Mungu atakubariki Mambo yatakua mazuri tu, Usiridhike na hapo ulipo Pambana and don't Give up!!
Mistari miwili ya mwisho, kwamba mkaachana?miaka inakwenda kweli, vuta mlupo unaoupenda, mwambie kaa hapa tuyajenge. ukipokea mshahara mkabidhi na ile slip ya salary.... mwambie naomba ya nauli, then weka kiasi hiki benki.... dogo, utaishi vema mno....in six monthy...cheki akiba (sahau kabisa michepuko) jenga familia...ongea nae vipi inatosha kuanzisha chochote tuongeze income?... angalia uelekeo wake....akikwambia ndio, tulizana, add 3 monthy tena.....then aanzishe kitu, mpende mtunze.....nakwambia mnatoboa,,,,,nilianza na laki,,,,,,nililishwa kabichi kama sungura, ila tulivuka, ila sijui nini kilimgeuza na safari ilikuwa mbali sana.....ila anzia hapo
Sasa kwani ulikuwa humkazi kabisa? Kama ulikuwa humkazi lazima aseme huna nguvu za kiume.Mkuu naomba nikupe ushuhuda wangu tuu.
Kuna mwanamke alikuwa single mother wa mtoto mmoja(nilimkuta ana mtoto), lakini nikamwambia sitaki nimzalishe kabla ya kufunga ndoa, lakini cha ajabu Alisema mimi Sina nguvu za kiume, baada ya hapo Kuna fundi gereji alikuwa na IST akamkubalia na jamaa akapiga mpaka demu akapata mimba,hapa saivi yule dada ana siku tano amejifungua,
Cha ajabu yule jamaa saivi hatoi hela na IST ameshauza,ingawa wanaishi wote.
Jana yule dada amelazwa hospital mtoto kazidiwa ila ananipigia mimi kuniomba nimsaidie hela ya nauli kwenda hospital na hela ya viatu vya shule vya mtoto wake wa kwanza.
Hapo utnilaumu mimi? au utawalaumu hao wanaume?
YEYE MWENYEWE NDIO ALITAKA KUZAA,HIVYO ABEBE MSALABA WAKE.
Kazanazo